H
Shukran na pongezi kwa kila aliehusika na kuwatafuta wahusika.
UCHUNGUZI MAKINI NA WA HAKI UFANYIKE, SASA ATAKAEGUNDULIKA NI KWELI AMEHUSIKA AFANYWE MFANO HADHARANI ILI WENGINE WASIJARIBU TENA NDIO TUSONGE MBELE. LAA SIVYO KILA SIKU TUTAKUWA TUNAANZA UPYA TUU
DEFINATELY THIS IS A BIOLOGICAL WAR FROM SOUTH K & 'THE TEAM' AGAINST 'KIDUKU'. HATA HIVYO WAMEHANGAIKA NAE MDA MREFU KWA MAFANIKIO KIDUCHU NA SIDHANI KAMA HUYO MGONJWA ATADUMU KWA SIKU2 NDANI NK. ITABAKI STORY TU! ILI WENGINE WAKITUMWA WASIKUBALI.
Moto ni kiboko ya adhabu kwa kiumbe yeyote yule. Hao wameokoka na moto mdogo tu wa kidunia congrats, kilichobakia ni kujiepusha na moto mkali zaidi wa akhera.
HUWA NINAJIULIZA SAAANAA. MBONA MIMI NINAPOKEA MESEJ ZA MATAPELI KILA MARA?? NI LINI WAHUSIKA WATACHUKULIWA HATUA? MBONA NAMBA HIZO ZIMEONGEZEKA BAADA YA USAJILI WA VIDOLE KUANZA?!!
SASA KUMBE MAASKARI WANAWATIAGA NGUVUNI. SAFI SANA.
Kwani kuna mtu ambar alitaraji tofauti na hivyo? Hakuna cha kustaajabisha kwa mashabiki kufanya hivyo kiatariatari zaid
Kuna big mech ingine hapo nyuma kidogo mambo yalikuwa kama hivyo tu so hakuna jipya.
Na sio hapo uwanjani tu bali hata ktk mabanda ya kuonyesha mipira takriban nchi nzima...
HIYO MIPOMBE NI SABABU KUBWA ZAIDI YA KUAMBUKIZANA VIRUSI VYA HiV PIA, MAANA SIO TU VIRUSI VYA KORONA PEKE YAKE. KWA HIYO BORA ZAID SIO KUPIGA MARUFUKU UUZWAJI WA POMBE KWA MUDA FLAN TU, BALI INATAKIWA KUPIGA MARUFUKU MOJA KWA MOJA NA BADALA YAKE VIWANDA VYA POMBE VIGEUZWE KUWA VYA KUTENGENEZA...
BADO NI KAMA UMNAMTETEA NA KUMBEBABEBA.
HUYU ALISHAGEUKIA KWENYE UPEPO WA
'LOWER SIR' UCHAGUZI WA 2015 AU MMESAHAU? NA AKAONGEA MANENO MACHAFU SANAKIPINDI KILE. NA SASA YUPO WAPI? NI KIGEUGEU KTK KILA KITU. BORA MASLAH YAKE YAENDELEE KUKUA TU ANAWEZA KUSEMA CHOCHORE!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.