Recent content by Babu Kijiwe

  1. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Faida za kua na wi-fi router zenye ubora na speed nzuri

    Router za Yas ni mavi kabisa.
  2. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Trump ameshare video ya shambulio la mlipuko kutoka kwa jeshi lake dhidi Wahouthis waliokuwa katika mkusanyiko huko Yemen

    Umevimbiwa na pilau ya iddi wenzako wako kwa allah wanazini tu
  3. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania GSM anaharibu kombe la Shirikisho

    Hatuleti timu uwanjani.
  4. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania GSM anaharibu kombe la Shirikisho

    Mnakumbuka alikuwa mdhamini wa timu zote mwaka juzi, Yanga ikafika fainali kwa kubebwa na ma arajiga wa CAF. Mwaka huu kaidhamini Al Masry ili itukwamishe. Kamara kapewa hela pia. Mimi ni mzee wa Simba.
  5. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

    Allah hana uwezo wa kunilipa shika adabu yako.
  6. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

    Allah hana uwezo huo, yeye mwenyewe anaogopa.
  7. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

    Wimbo Mshindi sabuni mpya yenye nguvu, yenye kutakasa kuliko zote, Mshindiii yeee eeeeeh, mshindiii yeee eeeeeh, mshindi. Maneno ya yule jamaa mwisho wa tangazo "Mshindi ni sabuni mpya na yenye nguvu, nguvu tele ni sabuni mwanaaana kwa mikono yako, hakuna sabuni inayoshinda mshindi." Mshindiiii
  8. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

    Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa) Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa) (Tilititititi...
  9. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Zijue dalili za kuvamiwa na mapepo

    Ndio tapeli mwamposa amekwambia hivyo?
Back
Top Bottom