Recent content by BABU KIDUDE

  1. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Ndoto za kuishi Tanga mjini

    Mambo vipi Wana Jamii...... back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mambo vipi? Wana Jamii. back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mbeya, Arusha Moshi Dodoma Mwanza na Tanga PLUS Unguja na...
  2. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Ahh Ukishasema Jambazi maana yake ushahukumu mahakani kufanyni nini sasa??? akili ndogo kama punje ya Mchele
  3. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    " Maneno ya Hitler kwa Wapinzane wake "" -- RIP
  4. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Sijui kwanini watu wamegoma kujifunza kwa kupitia makosa ya watangulizi
  5. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya kuingiza faida ya 150,000/= kwa siku/ 4,400,000 kwa mwezi

    It always seems impossible until it's done.
  6. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Hizi kodi na tozo za mkaa ni kodi za dhuluma Serikali iziangalie upya

    NILIKUWA NATAFUTA HII BREAK DOWN YA BIASHARA YA MKAA SASA NIMEPATA ASEEE
  7. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na "Kazime Taa" Ni kauli gani nyingine ya ndio unayoijua?

    Umemwaga Ndani??? hayaaa..........
  8. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo kwa wenye uzoefu wa kununua na kuuza mchele wa Jumla nataka nijiajiri mtoto wa kike

    Ulicho kiandika ndicho ninachakijua na watu wengi hukosea kwenye Msimu, upgrade ukikosea hapo imekula kwako mazima
  9. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Unayependa kumiliki silaha angalia hili tukio kisha jiulize unaweza kuwa mvumilivu?

    Kweneye maisha niliyokulia mimi ni jambo la kawaida tu hilo, tofauti ni silaha, kwetu mkizinguana ni Panga, Jembe, Nyundo, sururu visu na mawe, Bisibisi na Spoku za baiskeli.
  10. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Fred Vunjabei na Frank Knows

    Siyo krauzi ni EFM alikuwa Bdazeni mzee
  11. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Makundi ya Wanaume yanayoongoza kwa nguvu nyingi za kiume na stamina kubwa kitandani

    Basi buwana pale sokoni Buguruni wanaongoza kununua dawa za kurefusha na kuchelewa ni makuli ahh ahh, Babu muuza mchuzi wa Pweza wateja wake wengi na JAY-WEE, Nina jamaa yangu nielenda kununua dawa za mitishamba si nikakuta wachezji wa mpira wanunua dawa ya kuongeza hamu ya kufanya...
  12. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

    Hiyo ni toleo la Pili, sasa Toleo la kwanza nilinunu 280,000 posta, kama kulikuwa na simu ilitamba sana kwa siye wapenda music ni hiyo express music alikuwa inakuja na Earphones kali sana aseee , mpaka sasa sijaona simu yenye mdundo kuzid hii kitu japo zaidi ya miaka 10 imepita toka niitumie...
  13. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Lema ni noma anastahili tuzo

    So na wewe Ushabadilikika?
  14. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Nusu ya wanaume duniani wangependa kuwa mademu

    MIMI nazani ni wale nusu waliokataa kwa Kweli
Back
Top Bottom