Ukiachana na "Kazime Taa" Ni kauli gani nyingine ya ndio unayoijua?

Wakuu,

Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda..

Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki?

Mimi;
  • Kazime Taa
  • Huyu hapa bodaboda muelekeze

Shusha nyingine unazozijua..

Subiri niende uwani..
 
"Unataka kunifanya nini?"
Hii zaidi ni kwa wale wavaa 'sendo' za manyoya na kuvalia vibegi viunoni/makalioni.
Yaaani kama vile tunafanana uchochoro wa kupita, harafu wana njaaa na hela dah utadhani watoto wa wawakoma
"""Unataka kunifanya nn ? """?
 
Hivi huwezi ingiza nusu tu..? Ndo maana nakataaga kuja, wewe unaingizaga yote, mwenzio naumia...!!! LIONE KWANZA
 
Mambo yameingiliana my ntakuja jumamosi.Unaweza kulia/kujinyea.
 
Wakuu,

Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda..

Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki?

Mimi;
  • Kazime Taa
  • Huyu hapa bodaboda muelekeze

Shusha nyingine unazozijua..
Baby siku ile ulisema nishukie kituo gani
 
Wakuu,

Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda..

Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki?

Mimi;
  • Kazime Taa
  • Huyu hapa bodaboda muelekeze

Shusha nyingine unazozijua..
Nimekuona na simu mbili naomba unipe Simu moja .
 
.
JamiiForums238924313.gif
 
Kuna mmoja nilitongoza kama miezi miwili hivi anazingua tu halafu nilikuwa namuelewa kinoma. Nikaamua tu kutulia kama siku 3 hivi.
Akaja akanipigia simu nilivyopokea simu baada ya salam akaniuliza nikwambie kitu... mchizi nikawaza hapa ni hela tu.... nikamwambia niambie...

Alichosema sasa....

"Today is a sex day"

Yaan niliacha shughuli zote kwa raha alipokuja tulifanyana mpaka tukakosa nguvu za kutembea..
 
"Kwani nikija itachukua mda mrefu"

"Sio mbali eh"
Wakuu,

Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda..

Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki?

Mimi;
  • Kazime Taa
  • Huyu hapa bodaboda muelekeze

Shusha nyingine unazozijua..k
 
Wakuu,

Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda..

Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki?

Mimi;
  • Kazime Taa
  • Huyu hapa bodaboda muelekeze

Shusha nyingine unazozijua..
"Nakuja kukuona tu ila sita kaa sana"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom