Recent content by Babsap

  1. B

    JamiiForums Tanzania Karipio la Rais Samia: Unaiba hela ya Umma ikusaidie nini? Utazikwa nayo? Utajibu nini Mbele ya Mungu?

    Kama kiongozi ingebidi asitoe hizo kauli, angewajibisha wa wote walioiba ili na yeye Kwa Mungu awe na la kusema.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

    Una Umuhimu sana wa Quran kuwa kuwa Kwa lugha Moja. Tafsiri Huwa zinachanganya watu. Naomba usome hii tafsiri hapa utapata jibu. Quran: 18. 86 "until he reached the setting ˹point˺ of the sun, which appeared to him to be setting in a spring of murky water, where he found some people. We said...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Ndugu zangu poleni Kwa uchovu, Nina Rafiki yangu ana mtaji wa 10m anataka kufanya biashara Kwa fasta fasta ili apate faida. Nakaribisha mawazo.[emoji1431] Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Nitafute inbox Kama uko serious nikupe mawazo.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

    Good point lakini kwa maono yangu nahisi hii itapelekea vita ya Nyuklia, tukumbuke tu kwamba Urusi ndio inaongoza duniani kwa Nyuklia na kwa sasa inabanwa na vikwazo ambavyo italazimishwa kutumia Nyuklia. Hii otakuwa vita ya 3 ya dunia. Tuombe Mungu tusifike huko.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja na umri huu sijui maana ya hii

    Anakutekenya mkono kuona kama utacheka.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

    Ningependa kujua group la damu yako.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Mkuu mbona bei ipo juu sana.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kufikisha wiki bila kufanya Mapenzi

    Pole sana bro. Muombe sana Allah akutangulie ili usifanye zinaa. Ila kama umeoa na una mke basi usijiumize kwa kuvumilia zaidi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine za kukamulia ng'ombe

    Wanao hitaji mashine za kukamulia ng'ombe wanicheki. Zimebaki 2 tu. Ni mashine nzuri sana kutoka UTURUKI. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Unataka kununua chochote from Turkey?

    Thanx bro[emoji120].
  12. B

    JamiiForums Tanzania Unataka kununua chochote from Turkey?

    Salam ndugu zangu. Je unahitaji chochote kutoka Uturuki? Basi usisite kuwasiliana nami ninaweza kukusaidia. Kwa sasa nipo Uturuki nitarudi nchini baada ya two weeks. Natanguliza shukrani.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Selfie kwenye Pantoni hairuhusiwi

    Asante sana bro
  14. B

    JamiiForums Tanzania Selfie kwenye Pantoni hairuhusiwi

    Nilipata aibu na ushauri wangu ni je sheria hiyo ipo? Kama ipo je kwa misingi ipi? Nini hasara kupiga picha?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Selfie kwenye Pantoni hairuhusiwi

    Habari zenu wakubwa. Jana nikiwa na wageni wangu kutoka Ulaya nilipokuwa nawapeleka Kigamboni tukiwa ndani ya pantoni tunapiga selfie alikuja mgambo na kusema tuko chini ya ulinzi kwani hakuna ruksa kupiga picha. 1. Ningependa tu kujua sheria hii ya kuzuia kupiga picha na sababu au hasara zake...
Back
Top Bottom