Recent content by babo

  1. babo

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuweka Whatssap kwenye TECNO T635?

    Ila naona kun watu wana sm kama hii wanatumia Whatsap
  2. babo

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuweka Whatssap kwenye TECNO T635?

    Nina simu aina TECNO T635, nashindwa kudaniload whatsapp ktk hii cm, kwa anaefaham anielekeze.
  3. babo

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi vina kamera za kumchunguza mmiliki?

    Wanaobisha jambo hili hawajui maana ya sayansi na tecnolojia. Hivi sasa dunia ina sayansi ya hali ya juu hata ukiambiwa ukweli kwa akili za watu zilivyo finyu, huwezi kuamini. Jambo hilo linawezekana sana kuwepo. Uwezo wa wazungu kufikiri usalama wao ni tofauti na uwezo wa mwafrika kufikiri...
  4. babo

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Kumbuka na utahakikisha magamba ya nyoka waamue mambo 2. Wamnyime comred lowasa chama kife au wampe lowasa ukawa ishindwe. Msumali ni wa jk. Kutema na kumeza anashinswa.
  5. babo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Ukweli ulio wazi hizi shule ni majanga hata jk anjua. Ni uozo na uongo shule ina wnfnz 500 walimu 10 hapo mwl wa sayansi hayupo kwa mda wa miaka 6. Wiki 1 wanasoma somo 1. Tena kiswahili. Alafu tunajifariji kwa mambo ya kijinga. Eti matokeo makubwa sasa fulish.
  6. babo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa mwanamke hawezi kutunza siri kuliko mwanamume?

    Hilo unalosema ni kweli mm mke wangu nilimwambia sri lkn cj ya ck
  7. babo

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi

    Mwisho lin ndg
  8. babo

    JamiiForums Tanzania Msaada kuroot LG E405

    Poa kiongozi,ila nilitaka kuroot bila kutumia computer,kwa hapo inakuaje
  9. babo

    JamiiForums Tanzania Msaada kuroot LG E405

    Naombeni msaada jinsi ya kuroot lg e405,kwa anae fahamu anipe msaada
  10. babo

    JamiiForums Tanzania Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mim natumia lg e405 ss natumia lin zot za TZ hii ipo poa au nikienda nje ya nch itazingua locked,msaad
  11. babo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujitoa Facebook

    kuumbe ndo hivyo
  12. babo

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    kumbeipokazi
  13. babo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ku-root simu nipo Zanzibar

    kazikweli
Back
Top Bottom