Naomba msaada jinsi ya kujitoa Facebook

Naomba msaada jinsi ya kujitoa Facebook

Mihadarati, Wakati,sijui Ubongo Kati,macho Kunoti,usipoteze Muda,kama Shibuda,omba Msaada,nikama Kawaida ,Kufecbuka, Tunza Muda Wakuchakarika,muda Somba rika, Uzeeni Mta Anguka,soma Alama Zanyakati.
 
Huyu mtu ameuliza namna ya kujitoa....ameuliza sababu za kujitoa?

Ni hoja ndani ya hoja, mimi ukiniuliza kwa nini sijawahi kujiunga Twitter nitakujibu na ukiniuliza pia hapa JF kwa nini sipo active jukwaa la siasa nitakujibu pia.
 
Ni hoja ndani ya hoja, mimi ukiniuliza kwa nini sijawahi kujiunga Twitter nitakujibu na ukiniuliza pia hapa JF kwa nini sipo active jukwaa la siasa nitakujibu pia.

Ni sababu binafsi mkuu Matola
 
Last edited by a moderator:
hhHhHHhahahahah na mi mnielekeze kutoka jamii hahahahha.....inafika kipindi akili inakua kubwa gafulaa

Huwezi amini nami nimetafuta huu uzi, ndio nafuata kanuni hapa nijitoe huko facebook once and for all.
 
Unadeactivate account huwezi kufuta kabisa,siku ukiingiza username na password account yako inareactivate tena hakuna kudelete account.😀😛🙂
 
Back
Top Bottom