Recent content by babegee

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nimefika 'Daslam' mji unanuka na hewa nzito, Feri watu wanakimbia kimbia tu!

    Au aniombe nimvushe na kad yangu alipe elfu 20. Badala ya elfu 30 ya kadi na nauli yake... alafu akishuka panton akiona watu wanakimbia na yeye akimbie asikae kizembe Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mwambaa haswaa, apandishwe cheo..hana baya, akifa haozi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana mkuu
  4. B

  5. B

    Namshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi' ktk kusubiri kuna stress nyingi sana.. Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10.. Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana. Status kote iko...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Following
  7. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mda bado,tueendee kusubiri
  8. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Malizia mkuu kutoa taarifa
  9. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daaah,labda leo wataita kutoka database
  10. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Na wish jina Lake lionekane kwenye placement huyu wizy, aje na ushuhuda hapa afunguke vizuri.. Namna hekaheka za mikando zilivomfanya had akabadili jina[emoji1787]
  11. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana bro, You deserve it.. Umekuwa msaada sana kwa wengi humu ndani.. Kila la heri katika safari mpya ya utumishi.
  12. B

    JamiiForums Tanzania 'Status' za Utumishi pasua kichwa

    Wanaofeli oral wanaandikiwaje status
  13. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daah kweli inaumiza sana kukandwa, asikwambie mtu haya maumivu uyasikie tu kwa wengine.. Mimi ni mmojawapo niliyekandwa yaani inauma hatari. Wizy aje tuu tufarijiane...
  14. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hahahahah, kwakweli tuombe tuu hadi miaka 45[emoji1787]haijalishi
  15. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wizy bado hajatokea wadau, aje atupe moyo
Back
Top Bottom