Recent content by babedi

  1. B

    Hivi kuna jipya kutoka kwa Rais Magufuli?

    Kabla sijasema kitu, nijimwage kidogo. Maana.... Kwa kweli kila nchi inayofikiria maendeleo. kuna vipaumbele na mikakati ya kufanikisha vipaumbele hivyo. Awamu iliyopita kama tunakumbuka tulikuwa na kauli mbiu ya kilimo kwanza na awamu hii kauli mbiu yetu ni Tanzania ya viwanda. Kitu ambacho...
  2. B

    Mtoto alipoharibu

    hapo kwa kweli kuna shida kidogo, ndoa za wake wengi mbona zinaruhusiwa Tz, angefuata nyayo za mz Mengi, anabeba jiko mbili mchezo unaishia hapo. hakuna mtu angekwazika. Ila kwa mazingira hayo inabidi bw. Peter afunguke, aeleze ukweli ulivyo asubiri msamaha kama utapatikana.
  3. B

    Polisi waanza kuisoma namba ya Mh Rais!

    mimi nafikiri mtuma taarifa umemfahamu vibaya mh. Magufuli, alivyokusudia ni kwamba, hicho kima kitatolewa sawa kwa askari wa majeshi yote na kwa awamu, ila kadiri hali ya uchumi itakapoimarika na hicho kima kinapanda. Wanaanza JWTZ, wanafuata Jeshi la Polisi, TIS nk. hiyo ni mantiki...
  4. B

    Urusi watengeneza Satan 2

    Warusi, wamarekani nk. wana silaha nzuri sana kwa mapambano lkn falsafa ya medani za vita kuwa na silaha nzur ni kuwa na filosofia nzuri ya kushinda vita. Cos, lengo la mapambano si kuangamiza bali ni kushinda.
  5. B

    MWANANYAMALA, DAR: Mtoto ang'atwa na mbwa baada ya mwanamke kumuingiza ktk banda lenye mbwa wakali

    Wazee hapo hakuna haja ya kulaumu Polisi, hivi hiyo taarifa ilifikishwa kituoni na isichukuliwe hatua? Mtu yoyote na aipeleke hiyo taarifa kituo cha polisi cha karibu bila shaka hatua zitachukuliwa tu, askar hawawezi kuelewa kila kitu katika mitaa yetu. Halikadhalika na madaktari. Hivi ni nani...
Back
Top Bottom