Recent content by Babchabi

  1. Babchabi

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Bro baba na Mama hapo yanawahusu nini ulikua umtukane yee tu
  2. Babchabi

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Umenipa habari njema nainunua Mie sipo tz lakini nainunua na nitaingia nayo tanzania full package hadi adapta yake thank you bro
  3. Babchabi

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Una uhakika bro zinapiga kazi
  4. Babchabi

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Bro ninavohisi haitofanya kazi sababu sio signal sababu tanzania ndio wanaofungua hiyo server au? Maana ukiangalia beam mombasa na tanga ni uso na pua lakini kwenye map ya Starlink ukiweka tanga inakwambia huduma bado ila mtu alieko mpkakani na map yake inasoma kenya basi inafanya kazi
  5. Babchabi

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Na jee nikinunua starlink kit nikaingia nazo tz inaweza kufanya kazi ?
  6. Babchabi

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Jamani vipi kuhusu starlink tz ndio imeshindikana kenya wenzetu tayari Burundi na Mozambique pia tz kitu gani kimeshindikana?
  7. Babchabi

    Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    wee umepita tu haujakaa wenye kukaa ndio sie tuliopo na mpaka watoto tumezaa acha kudanganya watu eti wacomoro wanakula bila kunawa , hilo ni suala la mtu binafsi kama uliona mtu kafanya hivyo hilo ni suala lake binafsi inamaana tukisema watanzania wote malaya wee utaridhika kwasababu tu...
  8. Babchabi

    Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    Nilichelewa kuona hii post umeongea mambo mengi ambayo umetukashif sisi wakomoro na inaonyesha huijui comoro tafadhali rekabisha post yako halafu tuje kukusaidia maana naona umeropokwa mambo mengi umeiponda comoro na ukaipônda zanzibar inaonekana una ubaguzi wa visiwa sisi ndio tunaokaa...
  9. Babchabi

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Neymar Agrees to Stay at Paris Saint-Germain After Barcelona Fail to Agree Deal to Sign Forward Neymar's dream return to the Camp Nou appears to be dead, as talks between Paris Saint-Germain and Barcelona have broken down, putting an end to any opportunity of a move away from France for the...
  10. Babchabi

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    psg wanataka 130m euro + rakitic + osmane debele + tolibo sasa huu nitawaona barca wajinga sana wachezaji 3 na hio hela kwa neyma mmoja yanini kun'gan'gania wakati grizou na king messi wapo rafihna pia yuko poa
  11. Babchabi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liver moto
  12. Babchabi

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    dili la neymar ni ngumu japo kua yee mwenyewe chaguo lake kubwa ni kurudu barcelona laikini ngoma ngumu mwarabu hatomuacha tu aende hivi hivi lazima hela yake irudishwe na kwa timu ya barcelona hakuna uwendazimu wa kutoa euro 220mil kwa wingi 100mil na + wachezaji 2 na mwarabu hayupo tayari...
  13. Babchabi

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Welcome grizou
Back
Top Bottom