Niende mojamoja kwenye mada nina Gunia 100 (KULINGANA NA MTAJI WANGU UKIHITAJI NIKUKUSANYIE PIA SAWA) ya pumba za mahindi nauza kg moja sh 80 niko kanda ya ziwa kwa anayehitaji tufanye biashara tuchekiane PM
Ninachomaanisha mimi sina mtaji wa kukusanya gunia nyingi ila najua mahali zinapatikana kwa bei nzuri kwa kg unapata kuanzia 80,90 mpaka 100 pumba za mahindi mhume@kennedy@Bush Dokta@NNRWA
Kufikia July mchele utakuwa aukamatiki mwaka huu mvua chache sana kwa baadhi ya mikoa majaruba mengi hayana maji mpk sasa na gunia la mpunga mpaka sasa lina 70k sasa sijui mpka july itakuaje
NItakua natoa ODDS MBILI FREE DAILY
N.B
ILA KUNA GROUP LA ODDS 3+ UKIPENDA LAKINI NICHEKI NIMESISITIZA UKIPENDA NA KUNA GHARAMA KIDOGO
ILA ODDs 2 FREE NITAKUWA NAPOSTI HUMU LETS GO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.