Recent content by babatovu

  1. babatovu

    JamiiForums Tanzania James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na tukio la Lissu kupigwa risasi...

    In the left side of your brain there is nothing RIGHT, and in the right side of your brain there is nothing LEFT
  2. babatovu

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kuu ya wana CHADEMA wengi kuhamia CCM

    Wanachagua au wanateua? Rejea uchaguzi wa marudio
  3. babatovu

    JamiiForums Tanzania Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    Mfalme Nebukadreza alijaribu kuwashurutisha wananchi wake waiabudu sanamu y'a dhahabu ambayo ilikuwa ndio mungu wake, lakini walikuwpo wale wale walomjua Mungu wa kweli wakagoma
  4. babatovu

    JamiiForums Tanzania Rugemalira aibua mapya, anataka kumtaja mwizi wa fedha za Escrow

    Mpaka hapo kesi imeisha kufa kama ilivyo kufa ya Sepetunga
  5. babatovu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Freeman Mbowe wakutana na kuzungumza kuhusu uchaguzi wa marudio

    Umoja ni nguvu, tuunganishe nguvu na tuseme hapana dhidi ya udhalimu wa ccm
  6. babatovu

    JamiiForums Tanzania Makamu wa pili wa rais Zanzibar asema rais kuongezewa muda ni suala zuri na linazungumzika

    Hivi hawa viongozi wetu huwaga hawajifunzi kwa nchi nyingine? Kweli kipato huleta majivuno
  7. babatovu

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai amefunguka na kusema atakwenda jijini Nairobi nchini Kenya kumuona Tundu Lissu

    Miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kwenda kumjulia hali TL speaker alipaswa awemo. Too late, aibu tupu, as a manager mfanyakazi wako anapata ajali mbaya anakimbizwa hospital ICU na yupo huko miezi mitatu eti umekosa hata siku moja ya kwenda kumjulia hali?
  8. babatovu

    JamiiForums Tanzania Leo hii Wema Sepetu wa kumuita Makonda "Le Brother"?

    Duuuh....!!!! Full maigizo
  9. babatovu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

    Nyie endeleeni kufurahia burudani sisi tunasonga mbele
  10. babatovu

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    Namimi nasubiri majibu
  11. babatovu

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kuu ya Lawrance Kego Masha kujivua uanachama wa CHADEMA

    Mtoto wa mama
  12. babatovu

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

    Ujumbe mzuri, ila vichwa panzi hawawezi kukuelewa
  13. babatovu

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wabunge fungukeni, acheni kuunga tu mkono kila kitu

    Siasa siasani, lengo ni kuwafunika hao walio funguka kabla ya hiyo kauli ya sub -woofe
Back
Top Bottom