Hii ndiyo sababu kuu ya wana CHADEMA wengi kuhamia CCM

Hii ndiyo sababu kuu ya wana CHADEMA wengi kuhamia CCM

Wana JF Chadema wako katika hali ya sintofahamu wakijiuliza kwa nini hasa watu wanatuacha na kukimbilia CCM?

Jibu ni kuwa sababu KUU ni kuwa wengi wamegundua UNAFIKI uliomo chamani na miongoni mwa VIONGOZI wao.

Hasa walipokuwa wakimwita Rais Magufuli kuwa ni DIKITETA.
Mfano mzuri ni wakati wakiwa huko nchi jirani wakiuguza mgonjwa na KUYAONA MAUAJI mabaya yaliyokuwa yakifanyika na wao wakaaamua KUKAA KIMYA tu pasipo kusema chochote kama ni miongoni vyama VYA UPINZANI vya nchi za EAC.
Huku WAKISHANGAA kuwa

"Kumbe Tanzania basi HATUNA DIKITETA bali tuna mnyoosha mambo. Haya mauaji tuliyoyaona tukirudi Tanzania mtu ASILITAJE neno DIKITETA"
Ndo maana hawalitumii tena.Kuna mtuamelisikiawakilitaja tena?

Hiyo ni moja ya sababu za watu kuihama Chadema maana mauaji waliyoyaona huko HAWAKUYAZUNGUMZIA hata kidogo.

Hata tu kuyazungumzia katika lugha ya KIDIPLOMASIA.Hamna chochote.
Ndomaana wanachadema wengine wameanza kuamka na kugutuka.
Maana kama ni kweli walikuwa ni CHAMA kinachosimamia haki hata basi wangetoa ushauri wa AMANI.

Chadema WALIJIONEA wenyewe MADIKTETA waliobobea.
ambao hunyamazisha MAANDAMANO yoyote kwa kila hali hew ya machozina risasi. Hata kama ni kuua wananchi wasio na hatia. MagufuliHata hakaribii hata kidogo/wala chembe.

Walipokuwa nchi hiyo jirani waliokuwa wanaisifiakilawakati BUNGENI eti Tanzania tuwe kama{.........} eti kuwa ina DEMOKRASIA zaidi ya Tanzania na hata kudiriki kumwita Rais Magufuli kuwa ni DIKTETA.Hii haingii akilini.
Naamni sasa kuwa WAMEJIFUNZA mengi. Na naamini pia kuwa HAWATALITAMKA neno "DIKTETA" tena maana sasa wamejua nini maana ya UDIKITETA haswa.

Tangu WASHUHUDIE na macho yao yale yaliyowafanyikia wafuasi wa UPINZANI wa nchi hiyo Ni vizuri watulie na wajitafakari.

Walijionea risasi zikimiminwa kama maji BILA KUJALI chochote.
Hata mtoto wa miezi miwili au sita hivi alipigwa rungu na polisi na kufaikiwani pamoja na wanafunzi wadogo washule. Jamani!

Naamni hii NDO SABABU kuu ya unafiki inayowafanya wengi kuihama Chadema.
Na hamna tena sababu ya kumwita Mh rais Dr.Magufuli kuwa ni DIKITETA
Maananmejua sasaDIKITETA hukaa namna .gani
umesoma mpaka darasa LA ngapi??
 
Mbuzi anaweza akaja kula mahindi uliyo anika uwanjani, ukamfukuza kwa kumpiga na jiwe lililo mpata mwilini. Atakimbia kwa hatua kadhaa na kugeukia tena kule aliko pigwa jiwe, kisha akajiuliza "hivi jiwe lile pale nilipo pigwa ilikuwa ni jana aú juzi? Atatafakari mala mbili tatu na kujiridhisha kwamba jiwe lile nilipigwa juzi kwahiyo ngoja na leo niende tena.
Huyo ndiye mbuzi
Hahahaaaaa! Ahsante sana mkuu.Ila mimi si Mbuzi sisahau kama. Najua leo si jumapili niAlhamisi mkuu.
 
Hayo matukio ya mauaji ktk hiyo nchi hata DW walikuwa hawayatangazi kabisa ila kazi yao ni kuwatafuta wapinzani wa Tanganyika wenye chuki zao dhidi ya Serikali kwa mahojiano kila mara
hawa jamaa wakati ule walikuwa timu lowasa sasa sijui baada ya tukio la juzi watakuwa wapi? na hapa ndipo waandishi wa habari wajitahidi kupunguza kuandika habari za bahasha.
 
hawa jamaa wakati ule walikuwa timu lowasa sasa sijui baada ya tukio la juzi watakuwa wapi? na hapa ndipo waandishi wa habari wajitahidi kupunguza kuandika habari za bahasha.
Habari za bahasha ni ukiukaji wa maadili ya uandishi. Acha DW tuone sijui watakuja na jipya lipi tena.
Ngoja tusubiri.
 
Ni watumwa. Wananunuliwa tu kama mbuzi
Tutawasaidia namna gani waipende nchi yao badala ya kila wakati kutupa rejea ya nchi jirani, Oh! sijui tuwe kama jirani zetu, Oh sijui nini ,Blah! blah!
Tuwasaidiaje uzalendo uwaingie?
 
Hayo matukio ya mauaji ktk hiyo nchi hata DW walikuwa hawayatangazi kabisa ila kazi yao ni kuwatafuta wapinzani wa Tanganyika wenye chuki zao dhidi ya Serikali kwa mahojiano kila mara
Baadhi ya Watangazaji walitoka huku.
 
Nimejaribu kukusoma lakini sikuelewi unachoongea labda elimu yangu ndogo maana hata kiswahili kimenishindA.

Anyway umeshaandaa meza maana Lowassa anaingia Lumumba karibuni
 
Tanzania hatujawahi wala hatuna mpango wa kuwa na kiongozi dikteta.
 
Ilitakiwa wachukue na video ili ndugu yao akiamka wamuonyeshe..maana ye alikuwa wodini muda wote..hajui ya nje
 
una bahati mbaya kuzaliwa na IQ ndogo sana.
Ndugu
Mr Highly rated Pyschologist,
Mjuaji wa mambo yote,
Mr Intelligence Quotient Evaluator{IQ}
Mr high IQ of above 150.

Nakutakia hongera sana.
Jambo moja ni kuwa Ninapotoa MADA za aina tofauti kama hii, najua ni nini ninachokifanya.
My IQ isn't determined by any Character.
Siku njema.
 
Wana JF Chadema wako katika hali ya sintofahamu wakijiuliza kwa nini hasa watu wanatuacha na kukimbilia CCM?

Jibu ni kuwa sababu KUU ni kuwa wengi wamegundua UNAFIKI uliomo chamani na miongoni mwa VIONGOZI wao.

Hasa walipokuwa wakimwita Rais Magufuli kuwa ni DIKITETA.
Mfano mzuri ni wakati wakiwa huko nchi jirani wakiuguza mgonjwa na KUYAONA MAUAJI mabaya yaliyokuwa yakifanyika na wao wakaaamua KUKAA KIMYA tu pasipo kusema chochote kama ni miongoni vyama VYA UPINZANI vya nchi za EAC.
Huku WAKISHANGAA na pengine kuambiana kuwa

"Kumbe Tanzania basi HATUNA DIKTETA bali tuna mnyoosha mambo. Haya mauaji tuliyoyaona tukirudi Tanzania mtu ASILITAJE neno DIKITETA"
Ndo maana hawalitumii tena.Kuna mtu amelisikia wakilitaja tena?

Hiyo ni moja ya sababu za watu kuihama Chadema maana mauaji waliyoyaona huko HAWAKUYAZUNGUMZIA hata kidogo.

Hata tu kuyazungumzia katika lugha ya KIDIPLOMASIA,hamna chochote.
Ndo maana wanachadema wengine wameanza kuamka na kugutuka.
Maana kama ni kweli walikuwa ni CHAMA kinachosimamia haki hata basi wangetoa ushauri wa AMANI.

Chadema WALIJIONEA wenyewe MADIKTETA waliobobea.
ambao hunyamazisha MAANDAMANO yoyote kwa kila hali.
Mabomu ya machozi huwa hayawatoshi bali risasi. Hata kama ni kuua wananchi wasio na hatia. Magufuli hakaribii katika hali hiyo hata chembe.

Walipokuwa nchi hiyo jirani waliokuwa wanaisifia sana kila wakatiwakiwa BUNGENI eti "Tanzania tuwe kama{.........} eti kuwa ina DEMOKRASIA zaidi ya Tanzania"
Na hata kudiriki kumwita Rais Magufuli kuwa ni DIKTETA. Hii haingii akilini.

NaamIni kuwa sasa WAMEJIFUNZA SOMO Na naamini pia kuwa HAWATALITAMKA tena neno "DIKTETA" maana wamejua sasa nini hasa ni maana ya UDIKITETA haswa.

Tangu WASHUHUDIE na macho yao yale yaliyowafanyikia wafuasi wa UPINZANI wa nchi hiyo Ni vizuri watulie na wajitafakari.

Walijionea risasi zikimiminwa kama maji BILA KUJALI chochote.
Hata mtoto wa miezi miwili au sita hivi alipigwa rungu na polisi na kufa ikiwa ni pamoja na wanafunzi wadogo wa shule. Jamani!

Naamini hii NDO SABABU kuu ya unafiki inayowafanya wengi kuihama Chadema.
Na hamna tena sababu ya kumwita Mh rais Dr.Magufuli kuwa ni DIKTETA
Maana wamejua MADIKTETA huwa na tabia gani
Ur level of analysis is soo poor. Hujamwelewa hata mwalimu wako wa "insha " darasa la nne . Kama na wewe ni mfia chama basi kazi ipo hko
 
umesoma mpaka darasa LA ngapi??
Naomba pia unipe education level yako.
Sikuulizi kuhusu darasa la ngapi. Nakuuliza uniambie kiwango cha elimu yako.
Huenda nitakusaidia mahali fulanina kukupa ufahamu.
 
Back
Top Bottom