Recent content by BabaPrince

  1. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado unajaza mamilioni benki wakati kuna USDT na other stable coins?

    Ni vyema unajua maudhui ya huu Uzi, Yani LENGO k
  2. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado unajaza mamilioni benki wakati kuna USDT na other stable coins?

    Ofisini tena! Binance si ni application, ofisini inahusika vipi hapo? Achana na ofisini physically, application yenyewe inajitosheleza, unabadili cash yako kuwa usdt au stable coin yoyote unatunza pesa zako bila stress ya makato ya benki zetu na mifumo ya jadi
  3. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado unajaza mamilioni benki wakati kuna USDT na other stable coins?

    Ni maarifa tu bro, ukijua vizuri kutumia Binance app utachukua bank na mifumo ya cash. Pakua app ya binance na tuendelee kujifunza kuitumia
  4. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    We jamaa mbona unatutisha wawekezaji wapya, yani hisa za 20M unaziita vihisa..seriously,?! tutake radhi tafadhali
  5. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Hivi kuna namna ya kubadili broker?
  6. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania Gawio kwa wanahisawa NICOL

    Form zinapatikana wapi mkuu, kama za CRDB,NMB ,NICOL nk
  7. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Ni vizuri kutengeneza portfolio ya kampuni tofautitofauti, mfano banking sector, investment nk ili kupunguza risk
  8. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

  9. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Mwaka huu nimejipanga kununua NMB na CRDB, Huo ni uwekezaji wa uhakika, kuna hizo bank zina potential kubwa sana na growth yake iko consistency
  10. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    DSE Hakuna Mwanga Bank
  11. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania SoC04 Benki Kuu (BoT) ifanyie kazi maendeleo ya Sarafu za mtandaoni na serikali ipitishe matumizi yake Nchini

    Kwa mtu asiye na sarafu ya PI mbeleni atajuta. Asante kwa mada
  12. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la tumbo kujaa gesi kwa watoto

    Asante sana kwa elimu
  13. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania Hatua za ukuaji wa mtoto katika miezi miwili ya mwanzo

    Asante kwa elimu
  14. BabaPrince

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna uume mdogo kwenye maumbile ya mwanamke aliejitunza lakini kwa mabinti wa sasa huo msemo umepitwa, wenye uume mdogo wanadhihakiwa sana

    Asilimia kubwa ni saiz za kati, ukikutana na mdada imeshatanuliwa ndiyo shida inapoanzia
Back
Top Bottom