Suluhisho la tumbo kujaa gesi kwa watoto

mimi.mimi

Senior Member
Jul 11, 2013
134
72
Mimi nina mtoto wa kiume sasa ana miezi sita. Gesi zilimsumbua sana, huku niliko tumezoea kuita mchango. Nilitumia sanaaaa dawa za hospital, ila mchango ulikua mkali sana na unajiludia malakwa mala, hamalizi wiki homa kali, tumbo kuunguluma, ukienda hospital kupima hakuna maralia UTI wala magonjwa mengine , ila tumbo stilii linaunguluma sanaaa.nimetumua dawa za mitishamba zakuchemsha nakumpa wapi inajiludia pia. Ila sasa nimepata suluhisho ambalo nilipenda na wewe ukipenda itakusaidia. CHUKUA

- LIMAO KUBWA 5
- VITUNGUU SWAUMA 3
- TANGAWIZI KUBWA 5
- ASALI( yakuchanganyia ili kupunguza ukali.)
- VINEGER APPLE CINDER ( Nzuri ukiwa nayo ila isipo kuepo sio shida).

JINSI YA KUANDAAA
Kamua limao zote toa mbegu, twanga vitunguu swaumu baada wa kuvimenya, twanga tangawizi weka kwenye maji kidogo na ukamue.

Chukua mchuzi wa limao, changanya na kitunguu swaumu kilicho pondwa. Changanya na mchuzi wa tangawizi, ongeza maji kidogoo, weka kwenye moto uchemshe ili uchanganyike jumla ya mchanga nyiko uwe kama ujazo w kikombe kikubwa. Epua na ukisha poa chuja mchanganyiko ili kuondoa machicha ya kitunguu swaumu weka asali robo ya kikombe chenye ujazo sawa na mchanganyiko wako. Weka na venega kama huna basi kisha chukua chupa safi weka dawa yako tiari kw matumizi.

SASA MCHANGANYIKO WAKO UPO TAYARI KWA KUMPA MTOTO,MIMI MWANANGU ANA MIEZI SITA HUMPA KIJIKO KIKUBWA CHA CHAI, ASUBUHI NA JIONI, GASI KWAHELI ANAANZA KUCHEKA CHEKA TUU, PIA KIKOHOZI MAFUA KWAHELI PIA, HATA MTU MZIMA INAMSAIDIA NIKUONGEZA DOZI TUU.. ..
 
Back
Top Bottom