Wewe umeshaingiza tsh ngapi?...wewe ndo mjinga unayezarau mawazo ya mtu ililhali ya kwako yamekushida....weka post yako ufundishe hizo fursa...hii ndiyo Jf
Fanyeni na vitendo sio kuongea tu...kuna watu wanaishia kisoma tu. Afu anaanza kubisha wakati hajawai kuona haya mambo..acheni masiara kabisa kama huamini mtafute mtu anaejua kisha utajionea live. Kisha urudi hapa baada ya kuona
MKUU hutakiwi kujaribu unatakiwa kuamua kufanya. Nitafute Kama unataka kustajabu mambo ya dunia. Njoo ukiwa tayari kabisa...wewe ujui Kitu alafu unabisha....
Mimi nina swali... Hivi Tanzania inazalisha wasomi wangapi kwa mwaka? 2 serikali idadi yao ya ajira kwa mwaka ukoje.. Na wale wasio ajiriwa wanafanya kazi gani?
Kwahiyo wewe unaona chanjo ya korona ni sahihi.. Na kama ni sahihi kwanini unasaini nakuambiwa et madhara ni juu yako? Acha bangi kabisa... Chanjo ya korona haina uhakika duniani kote.. Hii ni vita ya uchumi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.