Recent content by Babaa

  1. B

    Mkulima anapokosa soko/ Kiwanda cha kuuza mazao

    Inasikitisha pale mkulima anapotumia nguvu zake kwa kulima mazao laakini anakosa soko / kiwanda cha kuuzia mazao yatokanayo na kilimo. Mfano mdogo ni kilimo cha matunda kama Machungwa, Nyanya,Mananasi N.k Msimu wa haya matunda unapowadia unakuta wafanya biashara wachache kutoka nchi jirani...
  2. B

    Kampuni za simu zaweza kusaidia kumjua mgoni wako?

    Mke kutembea nje ya ndoa..makapuni ya simu haiwahusu kutoa jina au majina ya walio wasiliana na mkeo. kwanza ingekuwa vema kuwekeana mipaka na mkeo kuhusu kupokea au kutumia simu zenu maana wote ni wacheza rafu za uroda.
  3. B

    Kibosile amfumania mkewe akigawa tunda nje ya Ndoa!...check photos

    Hamisi kapime afya yako kupiga siyo ufumbuzi. Ikiwezekana mrejeshe kwao
  4. B

    Hodi hodi Babaa naingia

    Waungwana hamjambo?? Napiga hodi kwenu tafadhalini nipokeeni ni mgeni wenu kwenye Blog hii ya Jamii, ndiyo naja kwenu leo. Jamani nimekuwa mwanachama, nakubali hiki ni kisiwa cha fikra. Asanteni sana nikaribisheni kwa moyo. Tuijenge nchi yetu kwa pamoja.
Back
Top Bottom