Mkulima anapokosa soko/ Kiwanda cha kuuza mazao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkulima anapokosa soko/ Kiwanda cha kuuza mazao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babaa, Sep 6, 2010.

 1. B

  Babaa New Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Nov 11, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha pale mkulima anapotumia nguvu zake kwa kulima mazao laakini anakosa soko / kiwanda cha kuuzia mazao yatokanayo na kilimo. Mfano mdogo ni kilimo cha matunda kama Machungwa, Nyanya,Mananasi N.k

  Msimu wa haya matunda unapowadia unakuta wafanya biashara wachache kutoka nchi jirani wanakuja kununua haya matunda na kusafirisha nje au kusindika katika viwanda vilivyo chini kwao.

  Tatizo linakuwa mkulima wa kawaida inamwia vigumu kusafirisha haya matunda kwenda nje ya nchi. Je serikali haioni umuhimu wa kuwa na viwanda vya kusindika haya matunda?
  Kasi zaidi, Ari Zaidi, Nguvu Zaidi kama mchezo wa kuigiza vile
   
Loading...