Kampuni za simu zaweza kusaidia kumjua mgoni wako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni za simu zaweza kusaidia kumjua mgoni wako?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Akili Kichwani, Feb 2, 2010.

 1. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Jana nimepata email ya rafiki yangu anaomba ushauri wangu eti anamhisi mkewe anatembea nje ya ndoa.

  Anasema wao kwenye ndoa yao kila mtu ana uhuru wa kushika na hata kutumia simu ya mwenzie, katika kuperuzi siku moja akaona kuna mtu ameseviwa kama “taxi 3”. Hakupata shida kwani alijua ni no ya taxi driver ili apigiwe ikitokea dharura. lakini aliposona call register aligundua kuwa tofaui na mategemeo kwamba mkewe ndoye angekuwa anapiga simu akihitaji taxi, akakuta huyu taxi 3 ndiye hupiga simu mara nyingi kwa mkewe.

  Sasa baada ya uchunguzi, amegundua pasi na shaka kuwa huyo si taxi diver bali ni hawara wa mkewe! Ameamua kuwanyatia ili akiwapatia awafunze adabu. Alienda ofisi za tigo (no ya huyo tax3) wamsaidie kuangalia jina lililosajiliwa kwa hiyo no wakamkatalia eti wanaema hawawezi kumtajia jina ni siri. Sasa anaulza:
  je, ni kweli makampuni ya simu hayawezi kumsaidia? kama yanaweza, afuate utaratiu gani?
  Vipi akipeleka cheti cha ndoa kthibitisha ndoa yao bado watakataa?
  Kwa ujumla ni utaratibu gani unapaswa kufuatwa ili haya makampun yatoe ushirikiano wa suala kama hili?
   
 2. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 527
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Mwambie aache upuuzi.
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kuliwa uroda mkeo haina uhusiano na makampuni ya simu...vipi akitumia baru (posta) au barua pepe utafanyaje? kutoka nje ni tabia chafu tu...makampuni ya simu hayaruhusiwi kutoa details unless kwa sababu za kiusalama tena kwa idhini ya mahakama!
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,609
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Si amuulize tu mkewe anaogopa nini au umetunga hii kitu?
   
 5. y

  yegomwamba Member

  #5
  Feb 2, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Maadam umeshapata namba ya simu (tigo),wewe tengeneza mtego utambaini mwizi wako.waweza mtumia mwanamke mwingine ampigie simu akijifanya ndo mamsapu anahitaji kumwona hivyo amwelekeze sehemu watakapoonana.na hapo mtego lazima unase.
   
 6. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,768
  Likes Received: 1,678
  Trophy Points: 280
   
 7. mundele

  mundele Member

  #7
  Feb 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aache kupoteza muda wake,kampuni ya simu wana haki ya kumnyima information hizo kwakuwa hairuhusiwi kutoa info za mtu bila ridhaa yake. Kwa mujibu wa sheria za private info za mtu ni kwamba hata polisi hawawezi kwenda kienyeji na kuchukua info hizo. Info hizo zinaweja kupatikana kwa kibali maalumu kutoka mahakamani yani(Court Order) na hata polisi wakitaka kumchunguza mtu kwa njia ya mtandao ni lazima wawe na kibali hicho na si kienyeji. Ushauri wa bure, iwapo bado ana nia ya kumchunguza huyo mtu aende mahakamani aeleze nia yake na kama mahakama ikiridhia itampa hiyo court order lakini ni kitu kisichowezekana. Mwambie asipoteze muda wake.
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,768
  Likes Received: 1,678
  Trophy Points: 280
  Finally naanza kuelewekaeeh binamu! lol
   
 10. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  mzee sasa akimuuliza mkewe jibu si liko wazi? unafikiri atakubali? si atasisitiza kuwa ni dereva taxi tu?
   
 11. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  hata mimi nilimshauri hivyo badala ya kuhangaika na makampuni ya simu.

  lakini nilimsihi asije akaua mtu kwani nimjuavuo ana hasira sana japo nyumbani kwake hana rekodi ya kugombana na mkewe,
   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  inaonekana wewe ni mzoefu wa hii ki2
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  ..Haswaaaa...kwani hata kama anamegwa jioni si anarudia nyumbani na yeye anapata mgao wake?? Pia ajichunguze na yeye huenda mandingo yako yamepooza so mama ameonja ya taxi driver anapagawa!!! Kaaaazi kweli kwelii...
   
 14. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  hapo tu penye bold mkuu, na ukimwi wote huu ......... ataubebea mbeleko gani???????????
   
 15. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Ashamaliza mzizi wa Fitina hapo; amconfornt mkewew na alazimishwe simu ipigwe mbele yake; na pengine hata yeye ampigie huyo jamaa kumtafadhalisha aachane na mkewe!:D
  Ashaupata ukweli sasa anataka kufumania? Anaweza kuhimili matokeo ya fumanizi?
   
 16. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nikamuongezea na ushauri wa bure ajaribu kuangalia na performance yake mazee.. Sioni mbadala wake hata kama aatamuuliza mkewe au atakwenda kwenye hizo kampuni za simu ni bure tu kama hapigi mzigo katika kiwango cha uhakika ategemee maumivu tu..
   
 17. B

  Babaa New Member

  #17
  Feb 2, 2010
  Joined: Nov 11, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mke kutembea nje ya ndoa..makapuni ya simu haiwahusu kutoa jina au majina ya walio wasiliana na mkeo. kwanza ingekuwa vema kuwekeana mipaka na mkeo kuhusu kupokea au kutumia simu zenu maana wote ni wacheza rafu za uroda.
   
 18. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,506
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145

  Ampigie huyo tax driver aje amchukue nyumbani kwenda mahali wakati mkewe akiwepo nyumbani na asimpe nafasi ya kuwasiliana naye. Ikiwezekana atumie namba ambayo mkewe hajui. Atapata majibu yenye kuelekea ukweli.
   
 19. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  mkuu,

  dark city akikusoma hapo kwenye bold, ataingilia kati sasa hivi!!!!!!!!!!!
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Hajajibu swali langu!

  KIFUA ANACHO YAKHE?!

  Maana asije dondoka kwa mshtuko!

  We kama vipi akubali matokeo tu! Ya nini kujifia kwa presha?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...