Recent content by Baba Zahra

  1. B

    JamiiForums Tanzania I am in love with my brother

    safi sana...wewe mwambie usimfiche...naamini atakushughulikia
  2. B

    JamiiForums Tanzania I am in love with my brother

  3. B

    JamiiForums Tanzania On Star TV: Tuongee Asubuhi Kupitia JF - Umri wa wagombea Urais

    Watanzania kwanini kujicomit umri katika katiba, tuweke sifa tunazohitaji ili rais atokane na sifa hizo.
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM wamhusisha Karume na Uamsho

    Jamani mbona CCM wanavichwa vibovu? Wanalazimisha sera yao mbovu ikubalike ya serikali 2, kwa sasa watu weng wameelimika wanajua kuchambua mambo wanache fikira za Nyerere wakati wake yeye alikuwa ndo msomi miongoni wa wajinga wengi, ila sasa dunia imebadilika. Ndugu za wanaCCM hiyo sera yenu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sad story ya Rah P

    Dunia ni hadaa walimwengu ni shujaa, pole sana Rah P mi c mshabiki wako na sikupendi hata kidogo. Ila nahisi umeshajifunza kutokana na makosa yako.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    Yangu macho tu kuangalia wanavyotajana. Tusubiri tuone. Ila hili gazeti si la udaku..?
  7. B

    JamiiForums Tanzania ASP ruksa ZNZ, na TANU ruksa TANGANYIKA

    Dah! Hiyo ndo hoja ya msingi, naunga mkono hoja. Kwani ccm wanaifanya hii nchi kama ya kwao. But their numbers are numbered to survive.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

    CCM Oyee idumu na idumu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Siasa ni nani? - Nyakarungu

    Siasa ni kuwadanganya wananchi ili uneemeke na familia yako. Ndio maana yake kwa nchi ya tz.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mambo nitakayopendekeza katika tume ya katiba mpya

    Na mawaziri wawe si wabunge. Wabunge wabaki wasiasa tu si kuongoza wizara asiona taaluma kisa anatoka chama tawala. Rais apewe uwezo wa kuchagua mawaziri nje ya wabunge wenye taaluma husika ila hao wabunge waisimamie sirikali. Sio wewe mbunge hapohapo unaiongoza sirikali. Je utaihoji serikali...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wazanzibari waaliruhusiwa kuuvunja muungano, lakini watanganyika tunawekewa mipaka?

    Chintu: mbona unalala usingizi usio na hata jonzi ila bado hujachelewa jua halijatoka. Mim nashangaa sisi watanganyika hatuna katiba, bendera wala serikali ya kwe2, hii nch sijui ya namna gani? Tuwape tu zanzibar uhuru wao wa kujiongoza kama nchi huru itambulike kimataifa, si kuwakandamiza...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sigombei ubunge Arusha kwa tiketi chama chochote kile: GODLESS

    Bora lowasa....
  13. B

    JamiiForums Tanzania Narudisha kikombe

    Na huyo polisi vp?
Back
Top Bottom