Recent content by Baba Wardah

  1. Baba Wardah

    Sera kuu ya CCM ni Dar kwanza, Hongera wamakonde wa Mtwara!!

    Yaani we jamaa ndio ulipaswa kuwa segerea kwa uchochezi sio kina Ponda. Maana ulichokiandika hapa maana yake hata mchele na viazi vya mbeya navyo wavigomee visije Dar. Je,na vinavyozalishwa Dar navyo wakigoma kuvileta mikoani unadhani nini kitazaliwa?
  2. Baba Wardah

    Magari ya M4C Yafanywa ya starehe, moja lakutwa bar!

    Mi sijaona hapo uwiano wa iyo picha ya gari na uwepo wake bar. Kwanza kama mtu unajua kabisa muonekano na aina ya iyo picha,mpigaji umeipiga kwa wasi wasi na kwa haraka na hii ni uthibitisho kabisa ya kuwa gari ilikua kwenye motion. Alafu hata iyo parking ni ya bar unataka kutushawishi vp ya...
  3. Baba Wardah

    Ushauri: Mwaka sasa mke wangu ananinyima Unyumba

    Shame on us men... Unaacha mkeo ndani mjamzito unaenda kuendekeza tamaa za mwili wakati ndio ilibidi uwe karibu nae kwa kipindi icho kukuza na kuimalisha mapenzi ndani ya ndoa? Haya umeendekeza tamaa na umepata nn sasa zaidi ya aibu? Hata uko kwa wazazi itabidi uweke wazi,ushapata jina la malaya...
  4. Baba Wardah

    Ushauri: Mwaka sasa mke wangu ananinyima Unyumba

    Uko sawa kabisa sister,shame on us men hii mbaya sana japo watu wanaichukulia rahisi,hakuna kitu kibaya kama kuchezea hisia za mwenzako.. Mbaya sana..
  5. Baba Wardah

    Iphone 4 black 8GB 295000tsh

    Ningependa kujua ni product kutoka wapi? Nianzie hapo then tuje kwenye biashara.
  6. Baba Wardah

    Traffic Police kanitoza fine kwa kwenda 52km/hr kwenye eneo la 50km/hr!!!

    Sheria ni msumeno,kama umezoea short cut ndio ujipange. Ulitaka akuachie kwa sheria ipi?
  7. Baba Wardah

    Natafuta nafasi ya kazi

    Jaribu kuwa mtembeleaji mzuri wa websites zenye matangazo ya kazi kama zoomtanzania na nyinginezo,Nina imani utafanikiwa mkuu. Mi pia zimenitoa izo website
  8. Baba Wardah

    Mdada wa NMB ananipa wakati mgumu

    Akishamaliza kurekodi na kuweka kote ikiwamo humu,aandae na milioni kadhaa za faini pale kisutu..
  9. Baba Wardah

    Wasichana wasichana ugali tu

    hahahaha hii kareee madamee!!!
  10. Baba Wardah

    Hodi wenyeji.....

    Asante sana mkwe..
  11. Baba Wardah

    Hodi wenyeji.....

    Mi mgeni jamani ndio kwanza nimeshuka sasa ivi kwenye basi.
Back
Top Bottom