Ushauri: Mwaka sasa mke wangu ananinyima Unyumba

Ushauri: Mwaka sasa mke wangu ananinyima Unyumba

chukua ushauri wa mwnajamiiOne and lara 1 ,..goodluck,
ukisamehewa ukome!tamaa mbaya.
 
Last edited by a moderator:
"Wot goz araund kams araund"think umenielewa...seriously kaka LAZIMA UTAKUWA UNAMEGEWA whether u like or not...huyo bbe ana hasira so amejiamulia kufanya yake pia...take care .bro...UNAPIGIWA...na vijana wa saiv wanavyopenda "T~go"

kaka sio kila linalosemwa hapa ni la kweli
unayemjua mkeo ni wewe
zaidi sisi tunatumia hisia tu
inabid uchanganye na za kwako pindi unaposoma maneno ya mdau huyu maana naona anasumbuliwa na kiropoko!
mazima
 
Shida kubwa umeumiza roho yake, mbaya zaidi alipokuuliza mara ya kwanza ulikana mpaka alipopata ushahidi mwenyewe! Unadhani anaamini kuwa umeacha wakati ulishakana mbele yake?

Kama ndoa yako ni ya kanisani tafuta wasimamizi wenu wa ndoa, nenda kanisani waeleze ukweli wote bila kuficha, mkeo akiwepo. Nadhani atakusamehe najua kwa masharti ila itakubidi uwe mpole tu.
 
Mhhhhhhhhhhh! Samaki kasusia chambo!!!!!!!

Cha kufanya ni kuanza kumvua UPYAAAAAAAA mkeo! Usizani kikao kimoja au 2 vitamaliza utata na machungu yake!

The easy way! (Kiss her A.)
Show her your remorse, sho her you have changed sio kw maneno tu. Eventually she will start to trust you again.

The Hard Way (Make her jelousy)
Tell her 1 last time your sorry na umeshamuomba msamaha mwaka. Na wewe bado kijana mdogo, hutaki kufa na pressure, and the way you see it kuwa yeye kakuchoka na huwezi kuishi kutegemea huruma yake ilhali hujui atakusamee lini. Enough is enough you are sorry 1000 times ila LIFE HAS TO GO ON! Wewe binafsi kuanzia kesho yake YOU WILL MOVE ON WITH YOUR LIFE WITH OR WITHOUT HER!!!!!!! Kama kumuoba msama Mola anajua umemuomba mwaka mzima. She left you no choice. Kesho unarudi asubuhi!, unaendelea kama hayupo!

EITHER WAY WHAT YOU DID TO HER WAS WRONG!

Asante kwa ushauri i will try it!
 
Kabla ya kuitisha kikao cha kukiri mambo uliyotenda nje, kwanza kapime damu kubwa mara tatu halafu rudi na hicho cheti cha majibu kw amke wako kwa unyenyekevu ukikiri kutorudia tena na umaaanishe hilo.
 
Kubali kosa, tell her everythng, usimfiche then muombe msamaha, thats what she want.
 
muombe msamaha kwa mara ya mwisho then akikataa usimsumbue tena na wala usimuulize chochote jifanye na we hujali...anza kumchukulia kama ye ni dada ako...nenda mishe zako asubuhi rudi mida ya sa 3 au 4 ivi afu uvae uhuru wa nafsi....ukifanya hayo na ye atajiuliza ni kwa nini umebadilika?kama anakupenda ataanza kujirudi na kujirudi kama mke ...ila kama hakupendi ndo mtapotezana kabsa
 
Habari zenu wana-JF, bila shaka mu wazima wa afya. Nimekuja mbele yenu wanajamii wenzangu nipate ushauri kwani naamini mbele yenu great thinkers haritaharibika jambo, Nisiwachoshe sana ni hivi;

Mimi nimeoa na nina mtoto mmoja, ndoa yangu ina miaka miwili mpaka sasa. Wakati wa uchumba mimi na huyu ambaye ni mke wangu kwa sasa tulipendana sana, haswa kwa upande wake kwani alikuwa akija kwangu na kunifanyia yote ambayo responsible wife anatakiwa afanye. Hata pale nilipomuoa hali ilikuwa hivyohivyo alikuwa akihakikisha napata cha afya walau mzunguko mmoja asubuhi kabla ya kwenda kazini.

Sijui ni vipi nilijichanganya nikaanza ku-date na mwanamke mwingine pembeni ingawa nakiri bado nilikuwa nikimpenda sana mke wangu kipenzi. Nilikua nikifanya jambo hili kwa siri sana. Hapa mke wangu alikuwa mjamzito karibu kujifungua hivyo alienda kujifungulia kwa mama mkwe (mama yake mzazi) hii ilinizidishia nafasi kujivinjari na small house yangu. Kama ilivyo ada dunia haina siri jambo hili lilimfikia mke wangu lakini nilijitahidi sana kukana.

Alipojifungua alirudi nyumbani, kusema kweli kipindi hiki nilikuwa mkali sana kila alipokuwa akigusa simu yangu, na ikafika kipindi akagundua ukweli baada ya kufuma sms za mapenzi za small house wangu. Kwa kweli tangu agundue jambo hilo alikasirika sana na kuanzia siku hiyo amekua akininyima unyumba, Nimeachana na huyu hawala for the sake of my marriage lakini mke wangu mpaka leo hataki kunisamehe hili jambo tunalala mzungu wa nne, kila nilimuomba unyumba ananimbia niende kwa hawara wangu.

Bado nampenda sana mke wangu, Vitu vyote anafanya kama mke ila swala la unyumba ni mwaka sasa sijawahi pata na huwa ananiambia nikizidi kumlazimisha atarudi kwao (kuna kipindi kweli alirudi akakaa kama mwezi hivi na akarudi baada ya mimi kumbembeleza sana) ubaya zaidi mama yake yupo upande wake.

Wanajamii naomba ushauri wenu nifanyeje nirudishe upendo wake kwangu na aniamini tena, nampenda sana mama mtoto wangu na,nimemmiss kweli. Natanguliza shukrani na samahani kwa kuwachosha kwa thread ndefu.



kwani kama shida ni sex, si small house bado ipo jamani?

we endelea kula raha na small house bwana, kwani si mzuri na mtamu kuliko wife?
 
umevuna ulichopanda, hukutushirikisha mwanzoni - iweje utuulize wakati huu.
 
we acha kumdanganya mwenzio unaposema haiwezekani kukaa bila kufanya hilo tendo kwa muda huo siyo kwa wote ila kwa wewe na wenzio mbona yeye mwenyewe amekiri ameachana na nyumba ndogo inamaana amefanya tangu muda gani?

wajinga ndio waliwaoooooooo!!!
 
daah why alwyz men and not women.? heshma yako mkuu mi mpitaj tu..nam nna ya kwangu..sis wanaume.!! nisiseme sana
 
Am so disappointed na nyinyi wanaume what the hell r u thinking guys?? Yan unalala nje while I'm pregnant i swear utaitafuta msamaha wangu hadi uchoke. Mnahangaika nje kwa tamaa zenu za kipumbavu and u bring shit diseases kwenye familia. Wewe ni muuaji mkubwa. Once a cheater always u will be naamini mtu kucheat mara ya kwanza ni ngumu sana ila kurudia rahisi. Umeyapunguza mapenzi kwa mkeo kwa kiwango kikubwa umelitia ndoa yako. Lemme be honest with she will never trust u completely again and she will always be the victim coz ataishi bila kukuamini coz ur broke her heart. Hivi ingekuwa amefanya yeye je?? Ungechukua uamuzi gani?? Ingekuwa siku nyingi ndoa imeshakufa. Think before u act and always sorry is a sorry word. Am speechless with wanaume
Uko sawa kabisa sister,shame on us men hii mbaya sana japo watu wanaichukulia rahisi,hakuna kitu kibaya kama kuchezea hisia za mwenzako.. Mbaya sana..
 
Shame on us men... Unaacha mkeo ndani mjamzito unaenda kuendekeza tamaa za mwili wakati ndio ilibidi uwe karibu nae kwa kipindi icho kukuza na kuimalisha mapenzi ndani ya ndoa? Haya umeendekeza tamaa na umepata nn sasa zaidi ya aibu? Hata uko kwa wazazi itabidi uweke wazi,ushapata jina la malaya badala ya kuitwa baba fulan,asee umenikata stimu ile mbaya mwanaume mwenzangu. Au ulifikiria ndoa ni drama asee.. Muwe mnapata ushauri kwa wakubwa zenu kabla hamjaingia uko,inawezekana mnaforce wakati bado mna chembe za starehe za ziada. Ukishaoa maana yake umechagua kuwa mtulivu na uliyemchagua haya sasa kajua kakuvimbia,unadhani hapo kuna kitu anachokiogopa zaidi ya kumpelekea ukimwi? Daah....
 
Back
Top Bottom