Recent content by Baba vinka

  1. B

    Dalili na sababu za miguu na mikono kufa ganzi

    Mm huu mwaka wa 3 moto unawaka kwenye uti wa mgongo na viwiko vya mikoni ila tiba imeshindikana
  2. B

    Bobi Wine apinga Matokeo ya Awali yanayotanzwa na Tume ya Uchaguzi

    Wee sio kaguta kaguta alishaiondoa zamani huyu Mzee alijibatiza upya😂😂😂
  3. B

    Ujue mbuyu wenye miaka zaidi ya 500, unaoweza kubadili jinsia

    Kwahiyo wanaume wa dar wanazungukaga huu mbuyu et😏
  4. B

    Rose Manfere, Mshindi wa taji la Miss Tanzania 2020

    Akitoka Brazil namuoa Mimi, maana hizi ndo waga level zangu😇
  5. B

    Padri Mahakamani kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi

    Mhhh! Kwa style hii mbona yesu atakawia sana kurudi😬
  6. B

    Aliyewafungia Wanafunzi 14 banda la nguruwe atetewa

    Hapa najiuliza kitu ila jibu lake silipati, ikiwa hao wanafunzi angewaacha yaani asipitishe msako siku ile and let say kuna jambo baya limewapata usiku huo hapo kibandani walikokuwa hao wanafunzi asubuhi angelaumiwa nani? Kama si yeye kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya kijiji ila kwa kuwa...
  7. B

    Mali: Watoto wengi hutumika kama wapiganaji

    Mungu wangu😢 Hiyo isikie kwa jirani tu ila vita mbaya sanaaa jamen kama ikikukuta
  8. B

    Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

    Nakumbuka kipindi cha nyuma kama si huyu Rasi Buhari atakuwa Goodlick Jonathan, ilimulazimu kuhaisha mpaka kambi ya jeshi kutoka Abuja kwenda huko maiduguli ambako ndo ngome kuu ya waasi ila bado nasikitika bado kusikia wakazi wa eneo lile bado wanasumbuliwa na hawa wauwaji😰 Mungu awazidishie...
Back
Top Bottom