Acha ubwege wewe..yaani bado una mawazo mgando kwa elimu yako au ulichakachua aahhhh..jokes:crazy:..Maisha unaweza ukaanzia popote ..Vitu common sense vya kuzingatia kwa kukusaidia ni..1-urahisi wa kupata huduma za kijamii kama hosptali, shule, sokoni, nyumba, roads, nyumba za ibada nk...