Recent content by Baba Rudolph

  1. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, mfukuzeni Lema mapema. Anakwenda kukimaliza chama

    Mimi nilikuwa naomba ushahidi wa haya msemayo, nasema hv kwa sababu moja, tunaweza kuwa tunampaka mtu matope kumbe ni safi au sio safi, suluhisho la hili ni kuweka ushahidi ili watu wajue
  2. B

    JamiiForums Tanzania Huyu mrembo wa JF ananichanganya akili kabisa

    Kuhangaika humu kuandika maneno mengi hv basi si umwandikie moja kwa moja tu
  3. B

    JamiiForums Tanzania JF kuna wanawake wazuri sana Mashallah

    mwanamke mmoja kumkuta na sifa zote ambazo umezitaja ni kazi sana lazima awe na kasoro kidogo hapo katika hizo sifa.
  4. B

    JamiiForums Tanzania JF kuna wanawake wazuri sana Mashallah

    lakini sijaona kosa lake maana amesifia tu na amesema ukweli kabisa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine ni ngumu kutuelewa sisi wanaume

    wanaume huwa tunapenda usumbufu kidogo na sio kirahisi rahisi tu ndugu, sasa kweli unakuwa rahisi hivyo jaman, kuku mtamu ni yule ambae amekimbizwa kidogo bwana sio yule wa kuokota.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa kipare wana Password (video)

    sana, kuna mmoja nilimkanda nikijua nipo mwenyewe kumbe tulikuwa kibao, ila ninachowapenda wanajua sana ku printend ******* hawa kama watakatifu vile kumbe ni chakula cha watu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa kipare wana Password (video)

    wanakandwa sana mbwa hawa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa kipare wana Password (video)

    Nyooooo mnaliwa kweli tena mkionyeshwa makande tu mnavua chupi, nilishakuwa nae mmoja wakati nasoma chuo kikuu walali nilivyoondoka tu wakaw wanajipigia mpaka kero
  9. B

    JamiiForums Tanzania Haka katoto katakuja kuniua, nimeishiwa pawa aiseeee....

    hahahhahaahhaah hiyo kali kaka
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Hydroxonin inatoka tu kwa baadhi ya wanawake wa Makabila flani? Hasa Kanda ya Ziwa?

    Hiyo huwa ni kumgusa kidogo tu anamwaga.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Hydroxonin inatoka tu kwa baadhi ya wanawake wa Makabila flani? Hasa Kanda ya Ziwa?

    Nina dada mmoja anaitwa Anitha yupo Shinyanga huwa ananipa burudani sana aisee, huwa anamwaga mpaka nasikia amani. Mungu wangu hebu endelea kumtunza Anitha aiseee.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Gambaia waandamana kupinga hali duni za masomo

    Africa sijui nani ambae amaetuloga, ila hii yote inatokana na mifumo hasi ya uongozi nikiwa na maana kuwa system ya uongozi ipo corrupted to exitent ambapo viongozi hawaoni shida za waongozwaji ila wanachokifanya ni kuangalia maisha yao binafsi, nchi nyingi za kiafrica hazina mipango mikakati ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Geita:Binti wa kazi ashikiliwa kwa kumunyonga mtoto wa miaka 5

    Inaumiza na kusikitisha sana, hawa wabinti wakati mwingine wanakuwa na roho kama hizi kutokana na malezi ambayo wanakutana nayo kwa mabosi wao, wito wangu wazazi tuwaangalie hawa mabinti kama watoto wetu wa kuwazaa nao wajione wapo kwenye sehemu ya familia, lakini pia imani za kishirikina...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuna taasisi moja ya serikali karibu kila mwezi anakufa mfanyakazi mmoja; hivi hii ni kawaida kweli au kuna kitu nyuma ya pazia?

    Ki uhalisia inaweza kuwa ni natural death maana unakuta hiyo taasisi ina wafanyakazi wengi kwa mfano Tamisemi ina kundi kubwa la wafanyakazi so kwao kitu kifu ni kawaida sana, lakini kwa upande wa pili ukiangalia kunaweza kuwa na michezo ambayo wanachezeana wao kwa wao maana watu siku hizi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mifumo mingi ya Tanzania ni ya kizamani. Usalama kumtaka mtu mpaka watumie third party, why?

    Mkuu unajidanganya, fanya ujinga mkubwa ndio utaona uimara ya mifumo hiyo, ukiona kama usemavyo ujue ni inshu ya kawaida sana kaka
Back
Top Bottom