ingekua upo tayari Kwa km zozote ningekukaribisha Mlimba au Turiani,, kote Nina mashamba.
ushauri mwepesi. Nenda vijiji vya mikese ambavyo viko km sita hadi kumi kutoka barabarani, onana na mwenyekiti wa Kijiji mueleze shida yako, uwe tayari kuandikishiana na kukabidhi copy za Id zakp Kwa...
Kwenye Siri ya mtungi cha kwetu ni wasanii, location na lugha vingine vyote vililetwa na wadhamini kuanzia story, directors lugha and a lot about the movie. Ila kubwa kuliko yote ni fungu la pesa kama tukiendelea kupamba na ramata wa jua kali viwango vya Siri ya mtungi tutafikia
Mshua: "Nani kakupa hiyo haki? Nisikilize bwana mdogo, wewe na yeye msingejuana bila Mimi kuwaunganisha. Sasa usijifanye unamjua sana. Kuanzia leo ukitaka kuwasiliana na mke wangu pitisha ujumbe kwangu. Sasa ole wako nikute umempigia simu, tena ikiwezekana na namba yake futa kabisa. Utaisave...
Itoshe kwa kusema hivi
👇
Newton's First Law of Motion states that a body at rest will remain at rest unless an outside force acts on it, and a body in motion at a constant velocity will remain in motion in a straight line unless acted upon by an outside force.
Wewe mwenyewe ndio my favorite. Hata kama Kuna sehemu kibao ulikua unauma-nje you ware still my favorite.
Mostly ni vile unaisaka pesa na uko serious on it hata hujaonyesha dalili za kuwa ngoswe baada ya warimbwende kufanya bidii ya kukukimbilia na umenifunza sana hapo
, ulinunua Bajaj...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.