Recent content by baba-mwajuma

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hapa Tanzania Matajiri Wengi Wakubwa Karibu Wote ni Waislamu? Je Dini ya Wakristo Inawanyonya Waumini Wake?

    Lugumi, Jumanne kishimba, late Ali mufuruki wapo wengi Tu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hapa Tanzania Matajiri Wengi Wakubwa Karibu Wote ni Waislamu? Je Dini ya Wakristo Inawanyonya Waumini Wake?

    Bakhresa ni mmoja wa innovator mzuri kupata kutokea Nchi hii , MTU yoyote anaehisi Bakhresa ni Tajiri kwa kupewa ana matatizo. Una solve vipi case ya mpira Tanzania, Usafiri wa maji kote kigamboni na Zanzibar, issue ya filamu, uwatoe kwenye reli coke na Pepsi Hadi walalamike Serikalini vyote...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

    Inaagizwa bidhaa moja kwa wingi? Ukumbuke kiwanda kinatumia molds na ili kuhakikisha fixed cost inarudi inabidi kuwe na mzunguko wa maana kwenye mold husika. Sababu mtu kaagizishia pair 1000 za viatu haimaanishi viatu vyote ni design moja na namna moja kila kiatu kina mold yake, kila namba...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

    Majority ya hivyo viwanda vipo tayari, Pia huwezi Tu ukakurupuka kujenga viwanda bila kuangalia demand husika, hatuna unlimited market kwamba kila unachozalisha kitanunuliwa.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Ndio tena si kidogo, Tabora ina watu Milioni 3.3 na Mbeya milioni 2.3, Tabora ina watu Milioni moja zaidi ya Mbeya Source sensa iliopita https://sensa.nbs.go.tz/dissemination/results
  6. B

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Vipi pwani, visiwani, Tabora, Kigoma huko hakuna? Na mpaka hapo comment yako tayari haiendani na data zako. Mikoa mmoja kama dar Una watu wengi kushinda mikoa hata mitano.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Yani hata kubishana kuhusu misikiti na makanisa dar naona aibu Mimi, sitashangaa hata misikiti ikiyapita makanisa kwa 10 in 1. We sio mkazi wa dar ukija dar unaishia mtaani kwenu unataka utuchote akili. Kukupa data kamili mwenye makanisa mengi dar ni Katoliki na yapo 147 waliobakia wana...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Mpaka website za kanisa zinakataa Ukristo ni Dini ya pili baada ya dini Yao wenyewe, then wewe unataka utuchote akili. https://joshuaproject.net/people_groups/10441/TZ
  9. B

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    You are kidding, tafuta slum yoyote ile dar hapa Anza mwananyamala, tokea Tandale, nenda Hadi msimbazi malizia Hadi vingunguti uje utokee kiwalani malizia Hadi temeke, buza, yombo na mbagala ni Muslim majority na ndio sehemu ambazo majority ya watu wa dar wanaishi. Hii ramani ya Dar vs...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Nimesema kwa ujumla wake nafahamu Dodoma na Moro ni even ila Dar ni majority ni waisilamu hili hata hakuna mjadala, unless unataka ligi isio na maana, data za mwisho za dini kwa dar ilikua ni 70% waisilamu at that time kulikua na watu Milioni 3 dar, Japo sasa hivi wameongezeka sana na miaka 20...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Sio Tanzania, utofautishe Atheist na Dini asili, mfano Mhadzabe yule na Dini wapi na wapi? Kuna eneo kubwa sana nchi hii baina ya Arusha na mikoa ya Kanda ya ziwa sababu ni eneo la mbuga na Lina ulinzi mkubwa hakuna huduma za kijamii na mambo mengi wapo nyuma. Mimi binafsi yangu nimesomba sana...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Mikoa mitano yenye watu wengi Tanzania ni Dar, Mwanza, Tabora, Dodoma na Morogoro. Hapo labda Mwanza unaweza unasema ni Christian majority, ila hio mikoa kwa ujumla wake ina waisilamu wengi kuliko Wakristo. Mikoa yenye watu wachache Tanzania Bara Iringa na Kilimanjaro wapo chini wanashika...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

    Wapi nimesema imeandikwa na Waisrael? Guys kutokana na nature za reply za huyu jamaa kuna possiblity kubwa sio Binadamu ni AI inajibu ama Nati mbili tatu kwenye kichwa zimekatika.
Back
Top Bottom