Recent content by Baba mtata

  1. B

    JamiiForums Tanzania udsm mgodi umetema

    Main cumpus teyari
  2. B

    JamiiForums Tanzania bei ya chini ya laptop ni sh ngapi?

    350000
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mh. Wenje: Nitagombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

    buku 7 at work
  4. B

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya CHADEMA haya hapa

    Weka na matatzo ya magamba ili tufanye comparison
  5. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Angalieni jinsi CCM wanavyotumia vyombo vya habari kuwachafueni!

    Mfa maji haishii kutapatapa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ufikie wakati CHADEMA tuungane na vyama vingine

    Mleta mada ni kada wa Cdm kweli? . Huwezi kuwapatansha maskini na tajiri wakawa marafiki au unataka kuwafungisha ndoa kama Cuf na Ccm?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka wizi wa kompyuta polisi

    Polccm wanaish maisha magumu sana jaribuni kuwachunguza hapo mlipo na wanatumika ili kujikwamua kimaisha
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sijawai kupata kusikia ama kushudia ajali kama hii ya leo

    Jamaa unashangaa nini Tanzania wakati nchi yenyewe ni maajab mengine
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jamani wa kunisaidia, nampenda sana JULIANA SHONZA, nifanyeje?

    Ujinga peleka kwako
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

    Kwahyo hata kushikwa masikio nako ni uongozi anaweza kuwa ameshikwa na mkewe wewe unakuja kumpamba hapa ama kweli jukwaa limevamiwa
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ili kuweza kuachana na Adha za Ualimu

    Dawa ya tatizo ni kulitatua siyo kukimbia umeona Kenya wiki inaenda ya tano walimu wamegoma mpaka shule za government zimefungwa kwahyo hata Tanzania walimu wakiamua wanaweza hakuna kisichowezekana chini ya jua
  12. B

    JamiiForums Tanzania Maaskofu waipinga CHADEMA...

    Watu wengine sijui nini mbona green guard ipo muda mrefu hawakuwahi kusema?tatizo la kuchanganya dini na siasa ni hatari kweli
  13. B

    JamiiForums Tanzania Lowasa ampongeza JK, Tanzania kufanya vizuri kimataifa

    Mmmmh unafkiri kwanini mzee pale juu picha ya kwanza amenuna?anajua kuwa kuna tatizo naona nywele nyeupe anaanza kumsogelea jamaa ili kuangalia upepo kama atawekwa kwenye majina ya wagombea duh ama kazi kwelikweli
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara: Siri yafichuka,nini kilifichwa bungeni na waziri wa utumishi wa umma

    Walimu mkiamua mnaweza unakumbuka ile kauli ya kusema 'kama hamtaki basi sina shida ya kura zenu?'
  15. B

    JamiiForums Tanzania Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

    Eti Ccm inakataa kodi ya sim card baada ya kuona Cdm wameanza mishemishe duh kweli bila Cdm nchi haiendi
Back
Top Bottom