Recent content by baba Moses

  1. baba Moses

    Nchi Zenye Internet ya Kasi Zaidi Duniani

    Hapa sija kugusa wewe ndugu yupo kiazi mmoja kila kitu analinganisha Bongo yetu na watu walio mbali kimaisha japo yeye yupo yupo tuu kama furushi la ma...v
  2. baba Moses

    Nchi Zenye Internet ya Kasi Zaidi Duniani

    Daa ila sisi wabongo tunapenda ukaiunganisha nchi yetu na vitu vya kijingaa
  3. baba Moses

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Je Nissan x trail ukiiyagiza kufika mpaka mikononi mwangu Inachukua muda gani na pia ni bei gani???
  4. baba Moses

    Somo zuri: Tuthamini utu na heshima kwa mkubwa na mdogo tusiishi kwa mazoea

    Na ndio maana mimi sina tabia ya mkutembelea ndugu mwenye Mali na tabia kama hiyo hapo
  5. baba Moses

    Tahadhari kwa wanaume juu ya wanawake

    Nchi inapotea pale utakapo mdhuru yule alie tembea na Malaya wako basi ukamdhuru na ndipo sheria zitakuwa kwenye pingu zilizo bana mikono yako
  6. baba Moses

    Tahadhari kwa wanaume juu ya wanawake

    Hii ni baada ya kumuachia mwanamke wako majukumu yako kama baba baada ya kumuamini kupita kiasi basi inafikia hatua basi wewe unakosa tena Uhuru wa maamuzi tena na tayari ni mkeo ndo basi unaanza kugadhifika vile ambavyo atafanya tofauti na wewe na kukunyima Uhuru wako wa maisha
  7. baba Moses

    Tahadhari kwa wanaume juu ya wanawake

    Usimpe mwanamke ukuu wako. Hili wengi wamefeli sana basi taabu tupu baada ya kubugii
  8. baba Moses

    JWTZ isikubali kutumiwa namna hii, itoe tamko

    Acha hizi siasa za bongo ni shida ziki na umasikini. Ni bora kufanya mambo yako pamoja na malengo yakoo
  9. baba Moses

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    We ujue hao wanavyo kuchukulia wewe mbongo mweusi kama tairi la gari basi nisawa kwa ujuavyo wewe ashemed foolish colour.
  10. baba Moses

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    We huoni alivyo na hisia kali
  11. baba Moses

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Inavyo onesha huyu atawahi kuijua b.oro
  12. baba Moses

    Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

    Yaap ila we jamaa hivi ulitegemea Yule soja kutishiwa bunduki aikimbie risasi???
  13. baba Moses

    Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

    Lifti unapanda viatu unavua unavipakata mapajni mwako. Na kuongea sanaaa na kucheka cheka hivyo sitaki. Pia maswali ushabiki siasa marufuku ndani ya harrier yangu.
  14. baba Moses

    Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

    We si unaelimu huna kitu ndio maana humo humu kufwatilia maandishi kama mwalimu wa IMLA
Back
Top Bottom