harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
No6Kuhonga mbona hujalizungumzia??
No6Kuhonga mbona hujalizungumzia??
Unatumia njia zote hizo ngumu, mimi natumia Mlinganyo na Ankara tu.Hawana formula hawa Mkuu uki integrate na kudifferentiate jibu bado moja labda tutumie trigonometry ratios
Hahahhahahaha balance sheet .... Date , particular , folio , amount hhahahah daahUnatumia njia zote hizo ngumu, mimi natumia Mlinganyo na Ankara tu.
Hiyo ndio njia pendwa mkuu.Hahahhahahaha balance sheet .... Date , particular , folio , amount hhahahah daah
Ila wengine ni net loss tuuHiyo ndio njia pendwa mkuu.
Gain, profit, loss zote unakuwa uko aware nazo
Nchi inapotea pale utakapo mdhuru yule alie tembea na Malaya wako basi ukamdhuru na ndipo sheria zitakuwa kwenye pingu zilizo bana mikono yakoUsimpe Malaya moyo wako, Lasivyo utapoteza nchi yako yote.
soma vinavyowahusu hapoNipo hapa Jilan
Tumeshakujahaya ngoja wanaume wakuje
kuna mada kwa ajili yenuTumeshakuja
Jirani kakidume ketu hakajambo?