Recent content by baba latifa

  1. B

    JamiiForums Tanzania KOVA: Kapuya hana kosa la kuhojiwa ni mambo yake binafsi

    Na wewe ni wale wale tu!!
  2. B

    JamiiForums Tanzania KOVA: Kapuya hana kosa la kuhojiwa ni mambo yake binafsi

    Haki ya mnyonge ziku zote haipatikani duniani!! Huyo muheshimiwa ana kesi ya kujibu kwa mungu wake!! Na kuanzia tuhuma hizi wala hana muda mrefu!!!
  3. B

    JamiiForums Tanzania HAKaTWI MTU HAPA=mkono wa sweta

    We mwenyewe hunalo ninavyohisi!!!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maiti Akutwa na Kete 65 za dawa za Kulevya mkoani Mbeya...

    Tumrudie mungu jamani, naona kila mtu anaponda madawa lakini yakifika ndo watumiaji wakubwa!!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

    Mi nahisi umeolewa, ilo la kuwa umeoa siliamini saana!!!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu

    Kikubwa sio kuoa au kuolewa, kwani mi mbona nina mke na watoto wawili? Kikubwa ni kumkumbuka kama rafiki yangu tu!!!!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu

    Nilipotezana na rafiki yangu tangia mwaka 2002, anaitwa HABIBA AHMAD NACHILANGA, tulisoma wote tunduru ya leo nachingwea, baadae ye alisoma nachingwea day, baada ya hapo nasikia alienda jkt ruvu. Juhudi zangu za kumtafuta hazijazaa matunda!! Mtu yeyote ambaye amewahi kumuona au kukutana naye...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa

    Ni HP 6530b Ram 2 Gb Hard disk 150GB Prosessor 1.80Ghz System type 32 bit OS Window7 professional Bei 300,000 iko katika hali nzuri!!!
  9. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu wa sekondari aliye tayari kufanya kazi kigoma wilaya ya kibondo, tuwasiliane hasa kutoka maeneo ya dodoma, morogoro na dar. 0653757381
  10. B

    JamiiForums Tanzania Makabila mengine nayo wanaweza katerero?

    Dah full knowledge!!!!!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wakubwa tu:- Anataka nivimbiwe ili nisidoee kwa watu

    Dawa ndogo tu! tuwasiliane kaka!!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

    Mashetani ya kichina yale!!!!!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sijui kama tutabaki

    ajali kija siku? mmh! tunakwisha!!!
Back
Top Bottom