Wewe mwenyewe hujui kuandika vizuri kiswahili, sio "kuhandika" ni "kuandika", sio "hujuhi" ni "hujui", sio "ndiho", ni "ndio" na sio "huje" na wala sio "humbeha" ni "umbea".
hayo maonyesho ya kuwekewa microchip nimeyaona kupitia tv za ujerumani. Kuna watu walijitokeza na kuwekewa katika viganja vyao vya mikono kwa juu kati ya kidole gumba na kidole cha shahada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.