Tukifanikiwa kuifanya Tanzania ikaongozwa kwa misingi ya sheria na pasiwe na mtu aliye juu ya sheria, vyombo hivyo vitasaidia sana kuondosha ufisadi na kuleta uwajibikaji. Tatizo la sasa ni kuwa asilimia 90 ya wanaohusika na ufisadi ni viongozi wa juu kabisa katika umma na wao kwa kiasi kikubwa...
Mkonta, hii nadhani haiko kisheria. Mapenzi ama aina aina gani ya mapenzi mke na mume wanawezashiriki ni hiari yao wenyewe. Kufanya mapenzi ni moja kati ya nguzo muhimu ya ndoa, ni kufanya mapenzi kila mmoja ana aina ya mapenzi anayofurahia anapokua na mwenzi wake. Kunyonya sehemu za siri katika...
Yah! Kabla sijauliza nilipitia hii thread kdg na nikaona sababu zilizotajwa ni pamoja na uzinzi, mateso na kutelekezwa au kwa mmoja wa wanandoa kupatwa na wendawazimu na mambo hayo ni lazima yawe yamejadiliwa kwanza katika mabaraza ya usuluhishi kabla ya kudika mahakamani kwa ajili ya kudai ama...
Hello! Je inawezekana mahakama kuvunja ndoa pale inapotokea mmoja wa wanandoa amepoteza mapenzi kwa mwenzake kwa kiwango ambacho yeye hawezi kuvumilia na hakuna mtu au taasisi inayoweza kubadili mtazamo wake wa kimapenzi kwa mwenzie? Otherwise nipe sababu za msingi za kisheria zinazoweza...
Mi sijatukanwa bado. Ni ya ukweli kuhusu Nyerere yamesemwa. Nadhani ni bora Lissu akapingwa kwa kuleta hoja za kweli na sahihi kuliko kumshambulia Lissu kwa maneno bila facts.
Nina tatizo la kutokwa na vipele pia but huja pale tu ninapotumia wembe, ila nikitumia mashine za umeme na only kupaka spirit sina shida kabisa, achana na wembe!
Hilo la bima ya afya mnatakiwa kuwa makini. Bima ya afya ni kwa mtumishi, mwenza wake na watoto wasiozidi wanne. Usije ukapeleka za ndg au jamaa ili kujaza hizo nafasi then ikawa tabu utakapokua na familia yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.