Kikubwa kilicho mludisha home ni malengo yake kama alivyo sema ila amekuwa mtu wa kuzungumzia lile tukio na sio malengo yake yaliyo mludisha hiv ni nani leo hii asiye jua kama lissu kweli hakufanyiwa fear..ss ilibidi alichukue hili liwe moja ya sera zake kuwa ata dhibiti vitu kama vilivyo mkuta...
Habari wakuu mimi nifundi wa rangi za majumba aina zote natafuta kampuni ya kuifanyia kazi mana nafanya kazi mwenyew ila connection ndogo wakuu kwaiyo natumia mda mwingi kuwa free..kitu ambacho sio kizuri kwangu
Naomba kuwasilisha.
Mawasiliano/whattsapp
[emoji740]0735036133
Sent using Jamii...
Habari ndugu zangu,
Naombeni msaada wa kazi yoyote ile iliyo halali. Nipo Dar. Elimu yangu ni darasa la 7.
Ujuzi nilio nao ni fundi rangi na skimming uzoefu wa miaka 6. Na nipo tayari kuajiriwa na kampuni kama fundi.
Muda wowote call: 0712036133
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.