Niko Arusha sombetini ngusero nauza mchele na karanga kwa bei ya jumla karibuni kwa huduma zangu ujipatie bidhaa bora yenye thamani ya pesa yako wajulishe ndugu jamaa na marafiki wakazi wa Arusha na wauzaji wa maduka ya mtaani, watu wa migahawani, majumbani n.k ni kuanzia Kilo 10 na kuendelea...
muombe mtu anaejua kukaanga karanga kwa kiwango kizuri akuelekeze kisha nunua uzinunue nunua karanga kwa jumla anza kukaanga na zifungashe vizuri kisha tafuta vijiwe maeneo ya stand,mashuleni,na sehemu zote zenye mkusanyiko wa watu,,kwa mtaji uo unatosha sana usione haya we fanya pia zingatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.