Anaehitaji kuja Maswa-Simiyu idara ya elimu msingi tubadilishane mimi niende Mbeya, Katavi, au Geita, Kagera njoo PM. Atakaetaka kuja Maswa-Simiyu kutokea mkoa wowote usisite kuwasilina pia.
 
Husika na kichwa cha tangazo hapo juuView attachment TANGAZO.docx


Screenshot_20210110-154111_WPS%20Office.jpg
 
Mimi ni mwalimu niko wilaya ya Mufindi, iringa idara ya elimu secondary. Ninatafuta mtu wa kubadilishana naye kwenda wilaya ya Missenyi-kagera. Nafundisha english na kiswahili. Ambaye yuko tayari anitafute 0679422079.
 
Habari za muda huu ndugu zangu.
Mimi ni mwalimu wa masomo ya bailojia (Biology) na kemia (Chemistry) kwa ngazi ya kidato cha 1 mpaka cha 4.

Hivyo kutokana na mzunguko wa materials kuwa bado mgumu kwa baadhi ya wanafunzi na walimu pia hasa kwa masomo tajwa hapo juu hivyo nimeona bora niweze kuandaa notes ambazo ni mzuri na rahisi kwa kuzitumia katika kujisome kwa wanafunzi na kufundishia kwa walimu na notes zinauzwa kwa gharama ya sh.500 kwa kila topic kwa njia ya PDF.
Kwa maelekezo mengi tafadhali piga 0628707503 pia namba hii inapatikana WhatsApp au nitafute telegram group @moodnotes1

Ahsante
Sir. Moodjuta
 
Naitwa Mwalimu Creticia D. Manda wa shule ya msingi mbwanga iliyopo manispaa ya jiji la Dodoma.

Nahitaji mtu wa kubadilishana naye, yeye aje manispaa ya jiji la dodoma na mimi niende manispaa ya Shinyanga.

Aliye tayari ani-pm
Njooo maswa-simiyu nije dodoma
 
Back
Top Bottom