Recent content by baba juniho

  1. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji; Mmoja wa Watu Walioficha Fedha Uswisi

    Nionesheni wapi manji alishawahi ajiriwa serikalini akaiba akapeleka pesa uswiz dah watu bwana ama ulifikiri mtanzania haruhusiwi kuhifadhi fedha zake pahala anapohisi ni salama nje ya nchi yake? Tatizo lilikuwa mafisadi kuficha hela sasa Manji ni fisadi aliiba nini na lini na wapi
  2. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kuchukua fomu ya Urais, Dr Mwakyembe atishia kuifuta TLS

    Kiruu kutawala maisha Tz haiwezekani
  3. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Lowassa,Tutalivuka daraja

    we are with u our coming presida
  4. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Ama kweli sauti ya wanyonge haina makali ila ipo siku itageuka kuwa bomu litakalo wasambaratisha wote wasio na uchungu na utaifa wetu
  5. baba juniho

    JamiiForums Tanzania HTC 0687 inauzwa tshs.300,000

    tupia picha
  6. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa yachafuka Mwanza: Polisi wapambana na wafuasi wa CHADEMA

    Wapige tuu ila 2015 na ninyi mtapigwa vivyo hivyo teh teh kutesa si kwa zamu bwana
  7. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Maaskofu waipinga CHADEMA...

    teh teh wananikumbusha yule mfuga nyoka wa kijijini kwetu sikimbi na yule aliyetaka kuanza kufuga nae bidhaa hii hadimu du wakaanza ooh sheria za kijiji haziruhusu kufuga nyoka nyumbani mara oohh sasa yule mfugaji mpya pamoja na majirani zake mbona yule mfugaji wa zamani anlifu na anaendelea...
  8. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na kampuni za madini

    CCM na wote ni wa PINDA
  9. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

    Eeeheeee
  10. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Kutoka Arusha: wabunge wa CHADEMA ndio wanapelekwa mahakamani

    Mwigulu Nchemba at work
  11. baba juniho

    JamiiForums Tanzania kwanini CHADEMA wameshikwa na kigugumuzi???

    Shame on you Policcm ana maccm
  12. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Mwana FA v/s Lady Jay Dee....!!!

    Ruge Matak@ tuu ugomvi wake anataka uhamie kwa wasanii ila huu FA nae anatafuta kudharauliwa tuu naamini hategemei sanaaa muziki sasa hizi njaa hata sijui zinatokea wapi jamani au wana jengine kati yao Jide aje hapa jamvini atueleze, juzi Ommy dimpozz ameongea point sana wasanii washikamane na...
  13. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Zitto aibua Ufisadi mpya BOT, ni wa karibu 620bil

    Vijisenti tuu wajameni tuwakaushie mbona sehemu nyengine mtu ukiingia tuu unalamba 110M ya nyumba hamsemi du acheni unafiki
  14. baba juniho

    JamiiForums Tanzania Baada ya siri ya Mwigulu Nchemba kulalamikia CCM kumwachia zigo la Lwakatare kuvuja,Nawashauri CCM

    :washing: Wachumia Tumbo CCM mwaka wenu huu lazima mkajipange mrudi 2020
Back
Top Bottom