Recent content by baba Joy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

    Mi nadhani Pep Gardiola na Zinedine Zidane wanaweza wakawa makocha bora kwa sasa hasa ukiangalia performance ya timu zao,
  2. B

    JamiiForums Tanzania Laptop min bytspeed (touch screen) 250,000/=

    Naitaka hiyo Toshiba, nitumie spcfication zake, 0714821744
  3. B

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz, Haji Manara na Jerry Muro

    Hahahaha, Manara tena
  4. B

    JamiiForums Tanzania Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

    Brevis ni gari nzuri xana kweli kama unavyosema ila ulaji wake wa mafuta ndo mkubwa kiasi, xo ni gari ambayo ukiwa nayo usiwe mtumishi wa serikali wa kusubiria mshahara mpka mwisho wa mwezi, utaipk uwani
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Wewe kama hupendi bac pole wengine tumeenjoy xana
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nauza TECNO W4 Tshs. 150,000/

    Unauza bei gani
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nauza TECNO W4 Tshs. 150,000/

    Mi ninaitaka sana ila nina laki moja kamili, nichk 0714821744,
  8. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: TANESCO haiwezi kulipa madeni kwa kupandisha bei ya umeme

    Kama Waziri asingeweza kuchukua hatua kwa taarifa za kusikia, alisubiri aletewe taarifa rasmi ofisini lakini mkurugenzi hakufanya hivyo,
  9. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza bendera ya taifa la Tanzania baadhi ya rangi zake zibadilishwe na kutiwa zingine

    Wewe unataka rangi gani mbadala sasa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakati mwingine, hapana jamani!

    Usiwe na shaka kaka, Tajiri hanuniwi, atakuja tu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Pole xana, usikate tamaa kiiivyo
  12. B

    JamiiForums Tanzania Membe: Magufuli asiwaendee pupa wafanyabiashara

    Huyo mfamaji tu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu umepata mimba kabla ya mke wangu wa ndoa, nifanyeje?

    Huyo mchepuko anataka akubambikie tu, tulia na mkeo
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli sisi ni "CCM B"

    Mbona kila siku mnamsakama Zito, kumbe na nyie mmo
  15. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA wavunja ndoa yangu

    Achana nae, mapenzi yenu na vyama wapi na wapi
Back
Top Bottom