Recent content by Baba Jan

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sioni bajeti ya maji ikipita kesho!

    We jidanganye tu
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatafuta nini kwenye simu yangu?

    Mwache aendelee tu kuchakura chakura, atakipata anachokitaka alafu atatulia
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli nina mtafuta ila anatakiwa awe na sifa hizi:

    Bro ungelegeza masharti 4 na 5 ungepata uwanja mpana sana na ungetengeneza familia nzuri sana. Wishing you lucky lakini
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikupi penzi hadi siku ya ndoa

    We jidanganye tu. Kupeana hurutubisha mahusiano kwa kiasi kikubwa sana. Msikremu mambo jamani, mnaharibu sana kama hamjui
  5. B

    JamiiForums Tanzania IQ of Tanzanian Presidents compare to American presdents

    Kwani nani ka compare?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jambo

    Ndio...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kabila GANI Huyu?

    Ila wanawake mna kazi! Huyu nae huwa anampiga denda mpenziwe?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa kigamboni,vimepimwa na miundo mbinu yote ipo

    Kigamboni sehemu gani?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Botswana wageni waondoka kwa wingi

    Leo ndio mmegundua kuwa mnatakiwa kuja tujenge nchi yetu pamoja sio baada ya kutimuliwa huko? Haya njooni
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi SENGEREMA Sekondari atumbukia chooni na kufa!

    Kaka wewe umepita njia kama za kwangu! Mtu akiona post yako anaweza kujua ni mimi japo miaka inaweza kuwa inatofautiana! RIP kijana wa sengerema shule ya wanaume!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

    Achaneni na vya Shonza jamani, tupumzisheni bwana, imetosha sasa!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mugabe atangaza nia yake ya kugombea Kwa mara ya sita kiti cha Rais!!

    Tatizo mzee anajua siku akitoka madarakani Keko ya Harare inamuita, lazima ahakikishe anafia ikulu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    Sasa matusi ya nini kiongozi?
Back
Top Bottom