Recent content by baba glory

  1. B

    Tabia 10 mbaya ambazo haziendani na urembo na utanashati

    Yeah hilo lankupaka mafuta makalioni kwa mwanaume hapana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  2. B

    Mwenye hii adaptor aniuzie

    Shida ni hapo kwenye ouput units mkuu nikipata unayotoa hivyo vipimo hapana shida
  3. B

    Mwenye hii adaptor aniuzie

    Hii ni adapta ya SELCOM wireless machine aina ya PAX S90 mkuu sio ya PC
  4. B

    Mwenye hii adaptor aniuzie

    Mashine ya Selcom, nimewasiliana nao wanadai hawana sasa biashara imesimama maana mashine imeishiwa moto.
  5. B

    Mwenye hii adaptor aniuzie

    Mkuu output voltage in 9.0V na current ni 1.0A kama unayo nipigie 0789 90 23 45
  6. B

    Mwenye hii adaptor aniuzie

    Habari wakuu, Mwenye hii adaptor hapa chini naomba aniuzie, hii imeungua na mashine imeisha chaji nashindwa jinsi ya kuichaji.
  7. B

    Wanaume 10 wapotea Morogoro

    Wala hawatapatikana watakuwa washaliwa na simba😭😭😭😭
  8. B

    Msemaji wa Waasi Rwanda: Hatuna namna zaidi ya kupigana na Kagame

    Sure Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Msemaji wa Waasi Rwanda: Hatuna namna zaidi ya kupigana na Kagame

    Sijui kama Kagame atakubali Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    Waziri wa Fedha: Nchi inapita kwenye kipindi kigumu, wafadhili wamepunguza misaada

    Hata mie naona jamaa wizara imemchosha, anatamani akimbie maana mara ya pili hii anakiri kuwa hali ni mbaya
  11. B

    Matumizi sahihi ya Home theatre Nyumbani

    Hatari sana, mzee baba kitu kama honda,onkyo,bang&olfusen,bose pia kuna speakers kama Klipse kama sijakosea
  12. B

    Mabati ya ALAF yako overated sana

    Zinakaa bati ngapi!?
  13. B

    China to take over Zambia's power firm over loan default

    Ndugu we acha tu:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:yaani dah? Na tulivo wengi soko lipo la kutosha sana, ila hakuna kitu.Vita AFRIKA,magonjwa Africa, mikataba mibovu Africa, Rushwa Africa dah?
Back
Top Bottom