Recent content by baba ff

  1. B

    Zifuatazo ni sifa za mwanaume anayejitambua kama ifuatavyo

    Ni mtu moja na inawezekana kuwa na tabia zote hzo.
  2. B

    Hussein Bashe: Sukari ni chakula cha watu masikini

    "Na wote wakanyamaza kimya wakitafakari huo ukweli mchungu bila kutoa taarifa yoyote" Mwisho wa kunukuu.
  3. B

    Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini. Asema utalipwa kwa miaka 40

    Kila nikitafuta mkopo wa Korea kwa Tanzania nakutana na kiunganishi cha madini katika lugha tofauti na ile ya msomi wetu, ni mimi ndo naona vibaya, au vyanzo tofauti vinanipotosha? https://www.arise.tv/tanzania-and-ethiopia-secure-billions-in-loans-from-south-korea/...
  4. B

    Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

    Acha kudhalilisha seminari kuu, unategemea watu wengine wanapata picha gani kama anayejiita shemasi hatumii busara kutoa majibu hata kama mengine ni ya kejeli? Hii ni sehemu waliomo watu wa kila aina na kila dini, jifunze kufikisha ujumbe kwa njia ya unyenyekevu.
  5. B

    Mbona walevi wanapata pata hela kuliko wasiokunywa

    katika utafiti wangu mdogo usio rasmi, ukifanya vitu vinavyoweza sababisha uovu zaidi, ni rahisi zaidi kupata pesa nyingi zaidi na kwa haraka kuliko vile vinavyosababisha amani na upendo. Ukiwa mgodini ukatamani kutumia pesa kusaidia wenye huitaji zinapatikana kwa shida kuliko zile za starehe...
  6. B

    Watanzania hawawezi kuandika

    mazingira tuliyojengewa ya kukariri masomo toka shule za awali yanachangia kwa kiasi kikubwa uandishi kuwa mbovu na hafifu, unakariri la saba, 4, 6, chuo, research unaandikiwa unanakiri, dissertation unanunua na kumeza, sidhani kama unaweza tegemea uandishi mzuri. Mtoto akiharibu kitu unapiga...
  7. B

    Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    https://www.dpworld.com/news/releases/dp-world-launches-dubuy-in-tanzania/
  8. B

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    mwambie mtaalam afanye utafiti upya, nipo nafanya utafiti na sangara anaishi vizuri kwenye bwawa.
  9. B

    DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

    shida kubwa ni kuifanya tiba kwa binadamu ifanane na tiba kwa mnyama. Tuna madaktari wengi wa wanyama na madaktari wachache wa binadamu. Binadamu ni lazima asikilizwe kwanza au kama ni mahututi mtu wa karibu atoe taarifa na ifanyiwe kazi ili kuepusha mgonjwa hasa wa dharura kupoteza maisha. Wewe...
  10. B

    Tabia ya Watanzania wengi kupenda kusalimiwa!

    na huko ulaya walianza hivi hivi, hakuna umuhimu wa salamu tunapoteza muda, sasa hv wamefikia kuwarundika wazee kwenye nyumba moja wahudumiwe huko, wao wapo wanatafuta pesa wafurahie maisha. Muda si mrefu tunawafikia wao.
  11. B

    RC RoseMary Atoa Onyo Kwa Makahaba " Dodoma Sio Sehemu ya Madada Poa"

    yupo sahihi, ni sifa mbaya kwake pia, yeye ni mwanamke aliyeaminiwa kuongoza mkoa, siyo rahisi kuitokomeza hyo biashara kwa asilimia 100, ila si sahihi kabisa kukaa kimya na kuiruhusu ifanyike. Kweli mnaona ni sahii ije kuwa Jiji kuu la makahaba na lina mkuu wa mkoa mwanamke, hapana mnakosea.
  12. B

    Baada ya kufulia alikaa miezi sita akaniacha hata hivyo namshukuru

    vijana acheni kuwa na vimelea vya kike, usitegemee nitakuchekea ukileta tabia za kibwawa, pumbavu, andika vizuri na usirudie tena kuandika kama mwanamke. Mwanamke tu ndo anaruhusiwa kutumia neno 'basi bwana' akiwa anaelezea kitu, pumbavu kabisa.
  13. B

    Baada ya kufulia alikaa miezi sita akaniacha hata hivyo namshukuru

    napata ukakasi kuongea napoona mwanaume anatumia maneno 'basi bwana', ama hayuko sawa au saikolojia yangu ina tatizo!
Back
Top Bottom