Huyo mwalimu kawapotosha namba witiri sio inayogawanyika kwa 3.
Mfano 5 na 7 ni witiri lakini hazigawanyiki kwa 3.
Ili ueleweke vizuri ni sawa kuwaambia ni namba inayogawanyika kwa mbili na kubaki moja kama ulivowaambia.Lakini vipi mwanafunzi akikuuliza mbona 1 ni namba witiri lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.