Hizi kazi za IT wateja wanatupiga sana, pia wachukulia poa mpaka akumbwe na msala ndo anarudi kwa aibu kwa kifupi freelance ya IT ni very Risk ndo maana tumeamua kuwa viraka tu wengine
Hapo babu umefeli somo la namba sikia usifananishe umeme na gesi au mkaa mfano kitaa chetu kuna mkaa wa kuanzia 700 na kuendelea ambao ukinunua wa buku hapo umepika misosi ya siku moja, gesi nayo mtungi mdogo unatoboa mwezi au siku 42 kwa wapikaji ila kwa sisi chai kwa mgahawa tunatoboa mpaka...
Mbona most ya app za mikopo zinafanya hii inshu ya kukusanya taarifa unaweza kuta unadaiwa akapigiwa hata mzazi wako akaambiwa mwanao tunamudai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.