Mtandao wa airtel utufidie hasara wateja wake

Mtandao wa airtel utufidie hasara wateja wake

Airtel ni mtandao wa Vijijini Uko ambako Mawasiliano sio Muhimu sana, Kuwa town na Kumtegemea Airtel ni swala la Kushangaza sana, Nimetumia mitandao yote licha ya kuwa changamoto zipo nyingi ila Vodacom anajitahidi sana aise
 
Leo 20 January mtandao wa airtel umekuwa down kabisa, sms haziendi, Internet imegoma na huduma za airtel money zimekuwa chini sana ku process.

Yaani nimepata hasara sana leo pia nimeshindwa kuwasiliana nipo pande za Dar hapa.

Airtel mtufidie wateja wenu kwa usumbufu huu
Kasome ilani
 
True!! Airtel pull your socks or I too will be leaving soon!
 
Tigo ndo huwa wanatoa offer siku inayofata kama kumetokea tatizo kama ilivyokua kwa Airtel leo...!
 
Nimeenda ku-renew line nikaambiwa siku hizi hiyo huduma ni changamoto hakuna connection na NIDA. Naweza kuachana nayo japo kuna salio kwenye Airtel money
 
Siku wanazindua 5G si rais aliwauliza hua nini kinatokea mtandao unakuwa down maeneo mengi wakakataa kwamba haiwezekani mtandao ukawa down kila sehem kwamba mitambo inabustiana, kumbe walimdanganya. Bunafsi sijawahi kutumia airtel
 
Back
Top Bottom