Recent content by baba askofu

  1. B

    Iringa: Katibu wa Mbunge wa jimbo la Isimani akamatwa katika oporesheni ondoa ujangili

    AMANI YA BWANA IWE NANYI..... pole mkuu bobuk wala sikwazi na hasira na jaziba zilizokutawala nayasadik sana uyasemayo kwanza futa kauli kuwa mimi ni liCCm, kwan mimi cna chama ila nina dini, ya ulimboka niliandika hapa, ya mwangosi pia nilisema, kibanda nayo nmelauma sana hali kadharika hata ya...
  2. B

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Wakati mwingine ni kuharibu CV za watu hayo amefanya kwa ngazi ya kanisa na ktk maeneo ya RC ambao kiukweli hata wewe wakikuweka utafanya makubwa, huyu jamaa Slaa kwa sasa ni mwanasiasa mzuri na kama akipunguza tabia za uroho zile hakuna kama yeye, kwanza ni mkali na mwenye kusimamia vema...
  3. B

    Iringa: Katibu wa Mbunge wa jimbo la Isimani akamatwa katika oporesheni ondoa ujangili

    Baraka ziwe juu hata kama mu washen... na wavivu wa kufikiri.. huyo bwana anaitwa thom malenga na sio lukuvi? lakini pia si lukuvi aliyesema wapigwe tu? kama ni wasoamaji wazuri wa magezeti last week bwana Nyaroocho Kicheere mmoja kati ya mwandishi/mwanasheria gwiji na adhimu hapa nchini...
  4. B

    Kilindi kimenuka tena

    Amani ya bwana iwe nanyi!!!! mimi binafsi nmekerwa sana na hili jambo eti baada ya msako wale magaidi walikimbia na wengine waliuwawa eti wake zao ambao ndio wasaidizi wakuu nikaona et yule Tanga RC Chiku Galawa anawabembeleza,hivi kweli jamani tumefikia hapo kumbembeleza mshirika wa watuhumiwa...
  5. B

    waliopata 26 up to 27 wataenda ADVANCE KWA MWAKA 2012

    Acha kupenda short cut mpendwa katika bwana, coz vp kuhusu credit? inamaana na wanafunzi pia wa shule za serikali warisit hapo haitakuwa fea kwa elimu yetu, we jipange kama vp utafute vyuo au laa uwahi ukalipie mtihani kama nawe ni muhanga ili urudie mitihani.
  6. B

    Matokea Form Green Acres na Bujugo Kughushi Cheti Cha Ualimu

    Infact yule Bujugo ni mkorofi ila hii thread hapa si mahala pake, wadau wa pale Green acrees hebu nikonect na mtu mmoja aliitwa magesa chals alikuwa form three pale Green acres mwaka 2008. tafadhalin sana wadau muniunganishe nae au kama yupo anicheki mtumishi wa bwana.
  7. B

    Kuhusu Laboratory technology

    unes unalipa sana ila kwa hizo cfa ni za certificate coz diploma huwa ni CCD, na ajira ya unesi ni nje nje na malupulupu ya kumwaga ni two years tu.
  8. B

    Hivi vitoto noma kweli

    du hiyo imvutia ndugu
  9. B

    Utamu wa kachumbari......

    Bwana awasamehe dhambi zenu, lakini muda mnaotumia kutenda dhambi humu za kutukanana na kusimangana mtakuja juta.
  10. B

    John Shibuda: Kutangaza urais sasa ni sawa na kuposa MIMBA

    shibuda ni maslahi man na hadi sasa hajijui ka ni nani ktk hii jamii, pia astukane mila
Back
Top Bottom