figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,681
- 59,181
Hicho kikundi naskia kilizuia watu wa sensa kwenda kuhesabu watu pi. Mia
Hicho kikundi naskia kilizuia watu wa sensa kwenda kuhesabu watu pi. Mia
Serekali ya Tanzania,inafuata utawala bora,haifanyikazi kwa matakwa ya mtu binafsi,nina uhakika usingefika cheo chochote,kama ungekuwa wafanykazi bila kufuata sheria.Ukawa wafuwata matakwa yako binafsi.Amani ya bwana iwe nanyi!!!!
mimi binafsi nmekerwa sana na hili jambo eti baada ya msako wale magaidi walikimbia na wengine waliuwawa eti wake zao ambao ndio wasaidizi wakuu nikaona et yule Tanga RC Chiku Galawa anawabembeleza,hivi kweli jamani tumefikia hapo kumbembeleza mshirika wa watuhumiwa tena hatari kama wale?,kwa mara ya kwanza nilitamani nisingekuwa mpakwa mafuta wa bwana,walau niwe afande mwenye ata V 2 ili niwaoneshe kazi na mateso ya dhati kwa makosa mawili tu,
1. KWANINI WALIISHI NA MAGAID HUKO PORINI?
2. KWANIN HAWAKUTOA TAARIFA ZA KAZI MBAYA NA HARAMU YA WAUME ZAO?
hakika wangejuta wale na wasingetamani yote hayo sasa na hata milele.
Serekali ya Tanzania,inafuata utawala bora,haifanyikazi kwa matakwa ya mtu binafsi,nina uhakika usingefika cheo chochote,kama ungekuwa wafanykazi bila kufuata sheria.Ukawa wafuwata matakwa yako binafsi.