Ahsante ndg.uvimbe uko kwa ndani. Yaani ukimgusa unahisi kama mfupa fulani hivi ambao ni kama ubavu, akilalia mgongo unatokeza,ilhali upande wa pili hali kama hii haipo. Ila wacha nimpeleke hospital for more check up.
Ndg zangu habari za majukumu. Mwanangu anauvimbe sehemu ya chini ya mbavu kushoto kuelekea kwenye tumbo.Uvimbe huo ni kama mfupa lakini sio. Wenye kujua hili tatizo karibuni kwa msaada. Mtoto anaumri wa mwaka 1 na miezi 3. Karibuni.
Imenisikitisha Sana hivi Serikali yetu na wabunge haya masuala mnayachukuliaje Ni aibu kubwa Sana naangalia kituo cha ntv cha Kenya hapa wanaeleza jinsi ziara ya rais WA china ilivyofanikisha kusafirisha maelfu ya pembe za ndovu.hivi nchi yangu Tanzania tunakwenda wapi? Huku naambiwa Lazaro...
Habari wana JF naombeni kujuzwa namna ya kupata mtoto wa kike, mama yoyoo wangu huwa anaingia M'period tarehe 18 takribani kwa kila mwezi. Afu uzazi wa mpango kwa njia ya kalenda mie bado unanichanganya, manake siuamini. Msaada na ushauri
KARIBUNI!!!
Ndg.umeshauri vizuri.Make hawa madogo wakipewa ushauri hawaeli soma.Maisha makumu sana hasa unapokuwa umehtmu kozi.Nimeupenda ushaur wa kuwa na marafiki.Mie nkwa Chuo kik wamensaidia sana,had leo baada ya koz mafend tunatoana.Chamsing ni kujua aina za marafiki.
:yo:Inanikumbusha nilivyokuwa mdogo, mama alikuwa akiniambia 'nyamaza mwanangu nitakununulia gari japo ni ngumu geto hakuna hata baiskeli.Watz wenzangu, mabadiliko ya posho na mishahara kwa wabunge sawa ila si kwa walio wafundisha!!!!!!!!!!!
:A S 39: Duuuuuuuu!!!!!!Kisiwa cha amani.Kaka taarifa hizi mbona zinastua moyo?Lakini acha tuone wenye dola wanasemaje.Any way Mungu ataepushia mbali.Make M23 ni balaa,They are above Dafuu and Alshababi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.