lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kumbe Mtu mwenye heshima kubwa ktk nchi hii mwenye dhamana kubwa kabisa hapa nchini anaweza kushiriki vitendo vya Uongo. Leo ndio nepata uhakika kuwa kumbe Rais na Sitta lao lilikua moja kuwa zuga, kuwahadaa, ku buy time, na hatimae kuwapiga changa la macho UKAWA. huu ni mkakati ulisukwa mahsusi ili kifanyike kilichofanyika juu ya uandikwaji wa katiba yenye kuinusuru CCM.
Hatimae yametimia na sasa ni ndoto kupatikana katiba inayotakiwa na wananchi kama ilivyopendekezwa na Tume ya Warioba.Mpango huu haramu uliwahusisha kwa makusudi watu ambao hawahitaji katiba ya kweli ili baadae watoe matamko dhidi ya UKAWA. hawa ni Mrema,Cheyo,Dovutwa na wapinga mabadiliko wengine. Kikwete alikua ana mamlaka ya kumwamuru Sitta kusitisha BMK lakini alijifanya hayamhusu.Tuna safari ndefu. kwa masikitiko makubwa kabisa nawasilisha.
Source ya habari hii siwezi kuitaja.
.