Recent content by B2L

  1. B2L

    Nauza Lenovo Curved Gaming Monitor

    Habari wana JF. Nauza Lenovo Curved Gaming Monitor G27c-10 yangu inchi 27 bei 650k. Imetumika miezi 6 Specifications hizi hapa chini. Display size: 27 inches Display type: Curved LED-backlit LCD monitor Resolution: 1920 x 1080 pixels (Full HD) Panel Type: 3-side NearEdgeless VA Refresh rate...
  2. B2L

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Ukiniagizia hii gharama mpaka inifikie inakuwa kiasi gani? XIAOMI GAMING MONITOR
  3. B2L

    Msaada Ku-unlock WiFi Router ya Tigo Huawei B315s-22

    Ndio inawezekana bila kupiga shoti.
  4. B2L

    Msaada Ku-unlock WiFi Router ya Tigo Huawei B315s-22

    Nimesha unlock moja ya smile model sawa na hii kwa firmware upgrade na AT commands.
  5. B2L

    Hivi kweli kuna wataalamu wa IT Tanzania?

    Hapana mifumo mingi ya sasa hivi ya serikali kuanzia mfumo wa malipo (GePG),eOffice nk inafanywa na wakala wa serikali mtandao (eGA) Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B2L

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Je kwa hii core i3 5005u naweza piga game gani latest ?
  7. B2L

    Msaada wa kuadd form six number kwny tcu

    Nimejaribu kuadd number yngu y form 6 nliomaliza mwka huu lkn inakataa inaandika" index number entered is either not valid or does no exist" aliofanikiwa anawez kunielekeza nifanyje kutatua swala hili!
  8. B2L

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Mkuu umeweza kujaza hpa kwny post form four education?
  9. B2L

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Ili upload picha hizi ndo dimension znazotkiwa km za passport Width 35 mm Height 45 mm
  10. B2L

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Unatakiwa kuupload picha mm nimefika had hpo ili kila nikiupload inasema picha imezid max height or width ila ndo ntka niipunguze nichek km iatkubal
  11. B2L

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Huwez kuprint mpk ujaze hzo information hpo ndo maan nmeshndwa kuzprint
  12. B2L

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Kufunguka tyar ila hpo ndo panazngua
Back
Top Bottom