Hivi kweli kuna wataalamu wa IT Tanzania?

No retreat no surrender

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
1,891
2,000
Nikili kuwa mimi ni mkeleketwa ama mdau mkubwa sana wa IT na teknolojia kwa ujumla

Leo nimekabiliana na mdau mmoja akikandia sana tasnia hii hasa hapa nchini kwa madai kuwa hakuna wataalamu na mifumo mingi hata ya serikali kama vile ule wa malipo umeundwa na wazungu je ni kweli? Kama ipo mifumo iliyoundwa na watanzania ni ipi hiyo na ni akina nani hao walioiunda
Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Financial Information System inaitwa "Votebook", iliundwa na kuwa developed na expert mmoja wa IT pale mlimani_UDSM. Maxmalipo ni app za vjana wa kibongo, Jamiiforum unayotumia ni ya wabongo! Hizi ni baadhi tu! Hata banking information system ya CRDB Bank ni pure wabongo. Wewe unaongekea IT kulingana na ufahamu wako sikushangai!!
Kutengeneza program na ukaimiliki ikawa ya kwako kiasi kwamba mwingine hawezi kuiingia kuna kitu kinaitwa " source code ". Mwenye source code ndio mmiliki wa hiyo software/program
 
mosabiy

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,505

ASANTE SANA JIBU KALIPATA. NADHANI JAMAA LENGO LAKE NI KUSOMA I.T ILA ANATAKA KUJUA KAMA INASOKO KWA BONGO
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
12,737
2,000
Kuna baadhi ya wabongo kazi wanajua ila tatizo USWAHILI SWAHILI Mwingiiii kiasi kwamba, kazi haziendi kabisa
 
Mwanambee

Member
Dec 26, 2015
85
125
Kuna Financial Information System inaitwa "Votebook", iliundwa na kuwa developed na expert mmoja wa IT pale mlimani_UDSM. Maxmalipo ni app za vjana wa kibongo, Jamiiforum unayotumia ni ya wabongo! Hizi ni baadhi tu! Hata banking information system ya CRDB Bank ni pure wabongo. Wewe unaongekea IT kulingana na ufahamu wako sikushangai!!
Kutengeneza program na ukaimiliki ikawa ya kwako kiasi kwamba mwingine hawezi kuiingia kuna kitu kinaitwa " source code ". Mwenye source code ndio mmiliki wa hiyo software/program
Shukrani nia yangu ni kutaka kujua ni nini ma IT wazawa wanafanya ili ninapojenga hoja niwe na vielelezo mubashara kama hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shagy cobra1

Member
Nov 25, 2018
79
225
I.T kwa hapa bongo wapo wengi na wengi niliobahatika kukutana nao wana ujuzi sana na vitu vingi wamebuni ila changamoto inayowakuta pesa tu ya kufanikisha mambo yao
 
Mega Mind Nyerere

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
1,442
2,000
Nikili kuwa mimi ni mkeleketwa ama mdau mkubwa sana wa IT na teknolojia kwa ujumla

Leo nimekabiliana na mdau mmoja akikandia sana tasnia hii hasa hapa nchini kwa madai kuwa hakuna wataalamu na mifumo mingi hata ya serikali kama vile ule wa malipo umeundwa na wazungu je ni kweli? Kama ipo mifumo iliyoundwa na watanzania ni ipi hiyo na ni akina nani hao walioiunda
Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalamu wapo wengi. Wewe sema unataka nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
boscco

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
321
250
Kuna mfumo unaitwa coyform(company form) unatumiwa na shirika la umeme tanzania,umetengenezwa na mtanzania(mfanyakazi wa shirika dsm.
Ni mfumo bora sana
Nikili kuwa mimi ni mkeleketwa ama mdau mkubwa sana wa IT na teknolojia kwa ujumla

Leo nimekabiliana na mdau mmoja akikandia sana tasnia hii hasa hapa nchini kwa madai kuwa hakuna wataalamu na mifumo mingi hata ya serikali kama vile ule wa malipo umeundwa na wazungu je ni kweli? Kama ipo mifumo iliyoundwa na watanzania ni ipi hiyo na ni akina nani hao walioiunda
Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gtely

Member
Sep 18, 2018
64
125
Japo wapo ila sio sana hata mazingira haiwasapoti kivile tunahitaji jitihada zaidi has a ukizingatia kila kitu ni technology, wenzetu wako mbali yaani unakuta dogo mdogo tayari ni software engineer,web developet,app developer na hacker mzuri tu.
Kama unamtoto wako anza kumnoa fresh demand ya hawa watu inahitajika sana hasa kwenye military, political and industrial espionage etc.
I hope WWWIII Itategemea sana IT
 
Akili_nyingi

Member
Oct 21, 2019
9
45
Field ya IT ni pana sana, ndani yake kuna Matawi mengi ya taaluma;
- Network
- Database
- Programming
- Web Developer (Front End & Back End Developer)
- Cyber Security
So napata shida kulijibu swali lako kwa jinsi ulivyojumuisha vyote kwa pamoja, labda ungefafanua ni nyanja ipi hasa ya IT..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom